Macho ni scanner (brightness), hivyo ikiwa umekaa kwenye mwanga usio na afya/ balance unaweza sababisha hilo hasa mwanga wa TV/smartphone (black mirrors/ blue light) huweza sababisha. Ikiwa tatizo linakutokea hata ukiwa hautumii vifaa hivi kwa muda mrefu basi huwenda unatatizo zaidi hasa kwenye mfumo wa fahamu ikiwa hili linaambatana na dalili kati ya hizi:-
1, kukosa usingizi, kichwa kuuma, hasa kusikia ganzi mikononi au miguuni, kusikia kama vitu vinatembea miguuni, kichwani au mikononi pia kupata miguu kuwaka moto ingawa hii ni stage kubwa.
If so, give a call or wasiliana na mtaalamu wa afya aliye karibu.