jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Kilwa lami ipo ya kutoka Nangurukuru mpaka Kivinje na masoko ila sio lami za kuunganisha mitaa, Liwale lami ipo mjini kati ila mitaani kwa raia hamna na ya kuunganisha wilaya hamna bora hata Mafia ukiacha hiyo ya msaada wa mwamerika kuna lami mitaani hasa kuanzia kkkt kichangachui mpaka beach kwa wavua dagaa kitu ambacho wilaya nyingi nchini lami za mitaa japo miwili hamna.Mkuu kilwa na liwale umefika lini??
kilwa rami kila mahali kivinje masoko lami tupu hadi mitaani sijui kilwa ipi waongelea
Liwale kuna rami pia ila haiunganishi wilaya kama kilwa na ruangwa au nachingwea
Kilwa lami ipo ya kutoka nangurukuru mpaka kivinje na masoko ila sio lami za kuunganisha mitaa, liwale lami ipo mjini kati ila mitaani kwa raia hamna na ya kuunganisha wilaya hamna bora hata mafia ukiacha hiyo a msaada wa mwamerika kuna lami mitaani hasa kuanzia kkkt kichangachui mpaka beach kwa wavua dagaa kitu ambacho wilaya nyingi nchini lami za mitaa japo miwili hamna
Kikwete aliwaahidi meli hao watu wakati anajenga lile gatiNi viboti vidogo viwili kimoja cha jeshi kimoja sijui cha nani ila ni viduchu
View attachment 2870757
Karibu...
Kuna meli bora kabisa kama kilimanjaro ya kwenda Zenji unacheki mpaka movie pia kuna meli ya Jeshi hiyo ina huduma bora balaa, unasafiri kama upo mamtoni, huwezi linganisha na visiwa vingine kama Songosongo huko ni kupanda majahazi tu mkifika mnashukuru.Hongereni kwa advancement, vipi usafiri meli zipo au bado ni lile dude la Msimbat
Safiri ujionee kaka, huko kilwa masoko kuna beach nzuri kushinda coco beach ila ndo hivyo miundombinu duni sanaTuoneshe
Good news, tunapandia wapi Sar au MsimbatiKuna meli bora kabisa kama kilimanjaro ya kwenda zenji unacheki mpaka movie pia kuna meli ya jeshi hiyo ina huduma bora balaa, unasafiri kama upo mamtoni, huwezi linganisha na visiwa vingine kama songosongo huko ni kupanda majahazi tu mkifika mnashukuru
wenye maswali kuhusu mafia uliza hapa ujibiwe, niko mafia kikazi.
Usafiri kuna meli Mv songosongo inamilikiwa na jeshi ina uwezo wa kubeba abiria 200+. Kuna kivuko Mv Nyamisati kinamilikiwa na serikali kinabeba abiria 200 na mizigo tani 100.
Barabara ya lami ipo kutoka bandarini hadi utende, kuna nyingine inawekwa lami sasa.
Naishi Kilindoni, mishe nafanyia vijijini hukoUko mafia sehemu gani??
Unamfahamu Ayub Kimbau? Au Ramadhan Dau?Hutakaa usikie
Msanii
mchezaji
Mtu maarufu
Au chochote kutoka kisiwa hiki shida nn??
au ni kijiji sana
Unatokea wapi? Kama Dar panda bus pale Mbagala mwandege za kwenda Nyamisati ukifika hapo utakuta meli iko tayari kukuvusha ukale bata na wazungu kibao ndo msimu wao kuanzia Januari mpaka April tunakula nao supu ya pwezaGood news, tunapandia wapi Sar au Msimbati
Safiri ujionee kaka, huko kilwa masoko kuna beach nzuri kushinda coco beach ila ndo hivyo miundombinu duni sana
naishi Kilindoni, mishe nafanyia vijijini huko
Sasa ile lami ya main road ndo hiyo mitaani vumbi tuKilwa nimefika masoko nangurukuru na kivinje
Sasa ile lami ya main road ndo hiyo mitaani vumbi tu
Oh asante kunikumbusha ni Nyamisati siyo Msimbati, inapiga trip ngapi kwa siku Mkuu nikitoka Dar nifike saa ngapi paleUnatokea wapi? Kama dsm panda bus pale mbagala mwandege za kwenda nyamisati ukifika hapo utakuta meli iko tayari kukuvusha ukale bata na wazungu kibao ndo msimu wao kuanzia januari mpaka april tunakula nao supu ya pweza
Make kwanza nichekeeee...... bongo hii wapi hamna ndumba? Bongo hiko ni kipaji maalum kila kijiji kuna manguli kama huamini andaa mashindano ya mchawi bora uoneNasikia uchawi huko ni jambo la kawaida tu
Nasikia uchawi huko ni jambo la kawaida tu