jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Kilwa lami ipo ya kutoka Nangurukuru mpaka Kivinje na masoko ila sio lami za kuunganisha mitaa, Liwale lami ipo mjini kati ila mitaani kwa raia hamna na ya kuunganisha wilaya hamna bora hata Mafia ukiacha hiyo ya msaada wa mwamerika kuna lami mitaani hasa kuanzia kkkt kichangachui mpaka beach kwa wavua dagaa kitu ambacho wilaya nyingi nchini lami za mitaa japo miwili hamna.Mkuu kilwa na liwale umefika lini??
kilwa rami kila mahali kivinje masoko lami tupu hadi mitaani sijui kilwa ipi waongelea
Liwale kuna rami pia ila haiunganishi wilaya kama kilwa na ruangwa au nachingwea