jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Ni wilayani tu, usitake pachangamke kama jijini mzee. Ila pia hapajapoa kama vijijini, pamechanganya kama zilivyo wilaya zingine, night club zipo bar zipo hata madada poa wapo wanatoa huduma kwa buku tano tu, uwe timamu au chizi ukiwa na buku tano unapewa misamba ya kufa ntuSasa mbona kumelala kama siyo tanzania hata matukio hamna