Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Sasa mbona kumelala kama siyo tanzania hata matukio hamna
Ni wilayani tu, usitake pachangamke kama jijini mzee. Ila pia hapajapoa kama vijijini, pamechanganya kama zilivyo wilaya zingine, night club zipo bar zipo hata madada poa wapo wanatoa huduma kwa buku tano tu, uwe timamu au chizi ukiwa na buku tano unapewa misamba ya kufa ntu
 
View attachment 2870790

Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!!

Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo???

Hutakaa usikie
Msanii
mchezaji
Mtu maarufu
Au chochote kutoka kisiwa hiki shida nn??
au ni kijiji sana

Pia unaweza pitia

Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?
Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?

Kujua zaidi
Ni ndogo sana na namba ndogo ya watu haiwezi kuwa mkoa
 
Ni ndogo sana na namba ndogo ya watu haiwezi kuwa mkoa

Wangeipa mkoa waipe favour ya ukuaji!!
Plus uwekezaji ukiongezeka watu wanahamia na kuwa wengi kadiri Huduma za kijamii zinavoongezeka kama
Umeme
Maji
Usafiri
Mazingira ya biashara
 
Chombo hiyo, Mv Kilindoni
1705164077866.jpg
 
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Lami ipo kuanzia bandarini mpaka utende kwenye mahoteli ya watalii, ilijengwa kwa msaada wa wamarekani lakini pia lami za mitaani zinajengwa sasa na halmashauri punguza kushangaa halmashauri nyingi hazina lami za mitaa kama huko liwale, kilwa, karagwe, kakonko nk
Karibu Kilwa ujionee, halafu uje ubadili mwandiko wako.
 
Back
Top Bottom