Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Sasa mbona kumelala kama siyo tanzania hata matukio hamna
Ni wilayani tu, usitake pachangamke kama jijini mzee. Ila pia hapajapoa kama vijijini, pamechanganya kama zilivyo wilaya zingine, night club zipo bar zipo hata madada poa wapo wanatoa huduma kwa buku tano tu, uwe timamu au chizi ukiwa na buku tano unapewa misamba ya kufa ntu
 
Ni ndogo sana na namba ndogo ya watu haiwezi kuwa mkoa
 
Ni ndogo sana na namba ndogo ya watu haiwezi kuwa mkoa

Wangeipa mkoa waipe favour ya ukuaji!!
Plus uwekezaji ukiongezeka watu wanahamia na kuwa wengi kadiri Huduma za kijamii zinavoongezeka kama
Umeme
Maji
Usafiri
Mazingira ya biashara
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
Karibu Kilwa ujionee, halafu uje ubadili mwandiko wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…