Je, Mafia Kisiwani kuna barabara za lami?

Nimefika huko, lami ya kuiunganisha na wilaya ningine hamna shida nini?

Si kweli mkuu labda tumefika zama tofauti

kat ya wilaya zilizo vizuri ni kilwa na lindi mc


labda kwa ujenzi wa barabara unaoendelea saizi Ruangwa inakuja juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…