Habari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd.
Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd part time?
Ahsanteni sana kwa wote mtakaonisaidia majibu ya maswali yangu.