Hii hua ni comment moja ya hovyo ni bora kukaa kimya
Huwa naamini fwd huwa zinasaidiwa na uzito wa injini pale mbele unavyokandamiza zile tairi kunasaidia kuongeza traction.Mchanga wa aina hio hata IST inapita gari zinazopata shida na mchanga kidogo ni sedan za rear wheel drive mfano Crown,GX100 hizi mchanga kidogo tu zinakaa.
Na ndio maana IST na wenzie wanapita kwenye mchanga ambao Crown inakwama.Huwa naamini fwd huwa zinasaidiwa na uzito wa injini pale mbele unavyokandamiza zile tairi kunasaidia kuongeza traction.
Rwd nayo ina uendeshaji wake kwenye mchanga ukiijulia hutokwama mara kwa mara.Na ndio maana IST na wenzie wanapita kwenye mchanga ambao Crown inakwama.
Unamaanisha yenye 2wd or 4wd?Sijawahi ona Harrier ikikwama kwenye mchanga
Shukrani sana mkuu kwa kushare uzoefu wako na ulikuwa mchanga mwingi kiasi gani maana kuna ule mchanga wa maeneo kama chanika, chamazi ambapo gari kama ist, belta, ractis hazipiti ndo nauzungumzia mchanga huo yaani unakuta tairi linazama kwenye mchanga kwa 25%-50% ndo nauzungumzia mchanga huu.Ilikuwa 2WD eeh bhana inateleza tu