Ingia google utapata majibu ya kitaalamu zaidi umu wataleta ujuaji mwingiHabari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd.
Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd part time?
Ahsanteni sana kwa wote mtakaonisaidia majibu ya maswali yangu.
Duh kumbe harrier AWD inakunywa wese kiasi hiki loh hii si ni sawa na consumption ya v8!2.4L harrier AWD town trip inatoa 6km/L highway 8-9km/L hamna penye mchanga inakwama. Tusubiri wa Alphard waje.
Harrier yenye 4WD kwenye mchanga inamudu kupita bila shida au itastruggle?Habari salari
Toyota Harrier 2.4L yenye fourwheel generally inakupa slightly better fuel efficiency (wastani wa 9–10 km/L) ukilinganisha na the similarly powered 2.4L Alphard 4WD, ambayo mara nyingi yenyewe huwa ina struggles na weight, kitu ambacho kinapelekea kuwa roughly 10.5 km/L under ideal conditions. models zote particularly older 2.4L, sio exceptionally fuel-efficient.
Wajua Alphard ni significantly heavier, larger, pia ni less aerodynamic vehicle, kitu kinachopelekea katika lower real-world fuel economy licha ya similar engine displacement na Harrier
Kwa ushauri na elimu zaidi
Unaweza kutupa number yako tukuweke kwenye kundi letu la elimu kuhusiana na magari au unaweza kututembelea ofisini kwetu
KARIBU OFISINI KWETU
TUPO ARUSHA KALOLENI KWENYE JENGO LA CONDO HOTEL LILILOPO MKABALA NA SHALOM CHURCH
OFFICE NUMBER 016 GROUND FLOOR
☎️ : +255797113153
Based on the above, inapitaHarrier yenye 4WD kwenye mchanga inamudu kupita bila shida au itastruggle?
Nadhani anamaanisha mchanga kama wa baadhi ya maeneo ya chanika chanika kule.Mchanga kiasi gani? Kuna mchanga hata Land Cruiser inakwama.
Iko kifusi sasa 😆Mchanga kiasi gani? Kuna mchanga hata Land Cruiser inakwama.
6 km/L hafu 2.4L dah mateso ayo.2.4L harrier AWD town trip inatoa 6km/L highway 8-9km/L hamna penye mchanga inakwama. Tusubiri wa Alphard waje.
Harrier inaweza kupenya lakini sio Alphard na hii ni kutokana na body morphologyHabari wanaJF, je toyota alphard, na toyota harrier zinamudu kupita vizuri barabara zenye mchanga mwingi? hapa nazungumzia ambazo ni 2wd.
Na kama hazimudu je kwa alphard na harrier ambazo ni 4wd consumption ya mafuta ni wastani wa km ngapi kwa lita? Na je kuna alphard au harrier ambayo ni 4wd part time?
Ahsanteni sana kwa wote mtakaonisaidia majibu ya maswali yangu.
Mchanga wa aina hio hata IST inapita gari zinazopata shida na mchanga kidogo ni sedan za rear wheel drive mfano Crown,GX100 hizi mchanga kidogo tu zinakaa.Nadhani anamaanisha mchanga kama wa baadhi ya maeneo ya chanika chanika kule.
Nilikwama sehemu na 3 series, yaani sehemu ya kifala sana. RWD sometimes jau sana.Mchanga wa aina hio hata IST inapita gari zinazopata shida na mchanga kidogo ni sedan za rear wheel drive mfano Crown,GX100 hizi mchanga kifogo tu zinakaa.
Gari za kijinga sana kwenye mchanga. Sehemu ambayo IST,Spacio zinapita Crown au GX100 inanasa kabisa.Nilikwama sehemu na 3 series, yaani sehemu ya kifala sana. RWD sometimes jau sana.
ni mchanga wa maeneo kama chanika, chamazi, baadhi ya maeneo ya kigamboni, ambapo gari kama IST, RACTIS, BELTA, VITZ zinakwamaMchanga kiasi gani? Kuna mchanga hata Land Cruiser inakwama.
Harrier haiwezi kusumbuka.ni mchanga wa maeneo kama chanika, chamazi, baadhi ya maeneo ya kigamboni, ambapo gari kama IST, RACTIS, BELTA, VITZ zinakwama
Hata mimi nimeshangaa maanake hata Crown ina afadhaliAisee kumbe wenye harrier wanayaendesha kigumu huku roho zinawauma sasa 6km/l mbona ni sawa ni v8 hiyo.