BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Karibu Mrao.Wacha bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Mrao.Wacha bwana
Naonaga kwenye movies tuu watu wakifanya zile deep meditation kwa psychologists alaf wanawekewa na kakengele pemben kina tik tok hadi waamkee... Wengine huona past yao, mabaya, mazuri, wengine wanaona future... 😂😂😂Kumbe ni vitu vipo in realitySasa kuna watu wanasema inaparalyse mwili, labda walikula ile poisonous, shrooms zenyewe zinakufanya uone maono zaidi ukiwa kwenye hio trip baada ya kuingest
Em nielekeze sasa nivutaje vutaje, maana nafanya mpaka kutolea moshi puaniNadhani unajaribu kuvuta kama wavutavyo wazoefu, yaani kiuoga ogaaa!
Sasa fanya hivi: sokota urefu na ukubwa wa sigara port, washa vuta yote kwa njia ya kudhibiti moshi wote uishie kifuani mwako.
Hata kama ni kichwa ngumu vipi, lazima utaleta mrejesho.
Kwenye ujana tumejaribu rafu zote hizo nazijua, na uzoefu ninao, siyo napayuka tu.
Mwanzoni, hata mimi nilibishi kama wewe, kila nikivuta nikawa sioni chochote.
Kuwaeleza jamaa zangu, wakaniundia msokoto mzima mkubwa, nikaugonga nikaumaliza, tena mchana wa jua kali!
Ebhanaeeh yaliyonitokea ndiyo yaliyonifanya nisirudie tena, unajua kukoma?
Basi mimi nilikoma na sitakuja kurudia maishani mwangu waalah.
Mark my words bro.
Acha nongwa bhana, we SI upite kushoto kama unaona hayakufai?Huu ni ulaghai,wewe na anayejiita dokta mnawaghilibu watu
Mbwembwe tu hizo hakuna loloteNaonaga kwenye movies tuu watu wakifanya zile deep meditation kwa psychologists alaf wanawekewa na kakengele pemben kina tik tok hadi waamkee... Wengine huona past yao, mabaya, mazuri, wengine wanaona future... 😂😂😂Kumbe ni vitu vipo in reality
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.Factory setting ya simu inafuta vitu vyote ulivyoweka wewe mtumiaji vinabaki vya kiwandani,sasa ni kitu gani hasa kinafutwa kwenye mind ya binadamu,kumbuka tangu unazaliwa unajifunza vitu vingi kupitia shule,kanisa,mazingira tofauti,Je hii magic mushroom unamaanisha itafuta kila kitu unachojua kuhusu maisha uliyoishi au inafuta nini?
Maswali n mengi ila majibu ni machache....Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
Ukiona jf nzima hakuna mwenye suruhisho la tatizo lao basi jua ww huna bahat
Katika dini ya Kiislamu calmness unaweza kuipata katika Sala, hususan ya Usiku wa manane(Tahajjud). Ukiipata hiyo unaanza kufeel more Love, Compassion, Kumpenda Mungu zaidi, Kujisikia unataka kusifu na kuabudu all the time, Creativity yako inaongezeka, Hofu kwa viumbe inatoweka na unakuwa unaweza kusoma emotions za watu na hata za kwako.Asante. Thats what I can say.
Na ndo maana I'll forever embrace the Tao sababu dini zote zinapoint hapo at the same time inanipa advantage kuwa calm, nikiwa calm naweza hata jifunza vitu complicated on my own, nikaboost uwezo wangu wa kazi etc.....
Dini zinahubiri lkn zina-assume kila mtu ni msafi, watue kwanza watu mizigo ndipo uwafundishe namna ya kutembea wima
Bangi inamambo ya ajabu kinoma unaona unasikia unakua active kuliko ukiwa kawaida mie nikiivuta sitaki nitembee au niwe kwenye makerere mie nipo nchi za ulaya sasa nilikua nafanya kazi kwenye kiwanda kimoja cha kutengeneza AC za ndani sasa nikajichanganya nikaivuta nikiwa mzigoni weee haahaaa mambo nilio kua nayasikia na kuyaona mule kwenye ile kampuni yalinitisha tokea siku hiyo sijaivuta tena na ile kazi niliacha kuna matambiko yanafanyika kila mproduct inayozalishwa kunasehemu inawekewa mark ya damu ukiwa kawaida unaona ni katone ka rangi kumbe ni damu so kila hiyo product ndani yake kwe cheeses yake kwenye cona ya kushoto lazima hicho kitone kiwekwe na unasikia sound [emoji344] zinazolia wakati wa uzalishaji kuna sauti ya ndege flan ilalia 24/7 muda wote wa production ukiwa huja moka huwezi kuchambua mambo ukimoka kila jambo lina kuja kiuwazi wake hii dunia inamambo mengi kinoma ndio maana wanayaficha make watu wakijua mambo yanayofanyika ufichoni watachizikaNadhani unajaribu kuvuta kama wavutavyo wazoefu, yaani kiuoga ogaaa!
Sasa fanya hivi: sokota urefu na ukubwa wa sigara port, washa vuta yote kwa njia ya kudhibiti moshi wote uishie kifuani mwako.
Hata kama ni kichwa ngumu vipi, lazima utaleta mrejesho.
Kwenye ujana tumejaribu rafu zote hizo nazijua, na uzoefu ninao, siyo napayuka tu.
Mwanzoni, hata mimi nilibishi kama wewe, kila nikivuta nikawa sioni chochote.
Kuwaeleza jamaa zangu, wakaniundia msokoto mzima mkubwa, nikaugonga nikaumaliza, tena mchana wa jua kali!
Ebhanaeeh yaliyonitokea ndiyo yaliyonifanya nisirudie tena, unajua kukoma?
Basi mimi nilikoma na sitakuja kurudia maishani mwangu waalah.
Mark my words bro.
😅😅 vipi kuhusu akili zako za siku zote hazitakuw formatedKiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.
Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Unalazimisha mjadala uonekane mzito na wew......We hueleweki. Kama ni vitu za kawaida sasa kwa nn elimu yake ifichwe?
Una point ila underestimation yako kwa shrooms ndo inafanya nikushangae.
Shroom ipo kwenye class yake peke yake tofauti na bangi au vitu vingine ni drug kama LSD lkn bado ina spiritual powers kubwa sana.
Sasa kama hiko ni kitu cha kawaida basi ww mwenzetu ni malaika na duniani sio sehemu yako
Sio wanaficha sababu ni jambo dogo......Lingekua dogo usingeandika paragraf yako ya mwisho. Kwa nn wanaficha kama ni dogo?
Mkuu mie huwa na kodisha online nasoma lisaa moja then narudisha ili niwe nacho mpaka ninunue kuna sehemu kuna vitabu ukivisoma hutokua kama ulivyo kikubwa lugha iwepo basi utayajua na kufanya mengi ujanja mwingi upo kwenye vitabu bahati mbaya hivi vitabu huto vipata tzTutumie mkuu kwa njia ya pdf
InterestingKifupi hii inafungua madudu yote yaliyopo kwenye SUBCONSCIOUS MIND,na kukuacha uchi kabisa upambane nayo live [emoji28]
Hayo madudu ni pamoja na Unprocessed Emotions,Traumas,n.k
Hapo lazima udate mzee..kumbuka hayo madudu umeyaficha kwa muda mrefu mnooo..halafu ghafla yanakuja Live.
naomba unitagIla siku moja pia ntaanzisha mada maalum khs kinachopelekea matumizi ya shrooms