Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Sasa kuna watu wanasema inaparalyse mwili, labda walikula ile poisonous, shrooms zenyewe zinakufanya uone maono zaidi ukiwa kwenye hio trip baada ya kuingest
Naonaga kwenye movies tuu watu wakifanya zile deep meditation kwa psychologists alaf wanawekewa na kakengele pemben kina tik tok hadi waamkee... Wengine huona past yao, mabaya, mazuri, wengine wanaona future... 😂😂😂Kumbe ni vitu vipo in reality
 
Nadhani unajaribu kuvuta kama wavutavyo wazoefu, yaani kiuoga ogaaa!

Sasa fanya hivi: sokota urefu na ukubwa wa sigara port, washa vuta yote kwa njia ya kudhibiti moshi wote uishie kifuani mwako.

Hata kama ni kichwa ngumu vipi, lazima utaleta mrejesho.

Kwenye ujana tumejaribu rafu zote hizo nazijua, na uzoefu ninao, siyo napayuka tu.

Mwanzoni, hata mimi nilibishi kama wewe, kila nikivuta nikawa sioni chochote.

Kuwaeleza jamaa zangu, wakaniundia msokoto mzima mkubwa, nikaugonga nikaumaliza, tena mchana wa jua kali!

Ebhanaeeh yaliyonitokea ndiyo yaliyonifanya nisirudie tena, unajua kukoma?

Basi mimi nilikoma na sitakuja kurudia maishani mwangu waalah.
Mark my words bro.
Em nielekeze sasa nivutaje vutaje, maana nafanya mpaka kutolea moshi puani
 
Naonaga kwenye movies tuu watu wakifanya zile deep meditation kwa psychologists alaf wanawekewa na kakengele pemben kina tik tok hadi waamkee... Wengine huona past yao, mabaya, mazuri, wengine wanaona future... 😂😂😂Kumbe ni vitu vipo in reality
Mbwembwe tu hizo hakuna lolote
 
Factory setting ya simu inafuta vitu vyote ulivyoweka wewe mtumiaji vinabaki vya kiwandani,sasa ni kitu gani hasa kinafutwa kwenye mind ya binadamu,kumbuka tangu unazaliwa unajifunza vitu vingi kupitia shule,kanisa,mazingira tofauti,Je hii magic mushroom unamaanisha itafuta kila kitu unachojua kuhusu maisha uliyoishi au inafuta nini?
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
 
Maswali n mengi ila majibu ni machache....
 
Asante. Thats what I can say.

Na ndo maana I'll forever embrace the Tao sababu dini zote zinapoint hapo at the same time inanipa advantage kuwa calm, nikiwa calm naweza hata jifunza vitu complicated on my own, nikaboost uwezo wangu wa kazi etc.....

Dini zinahubiri lkn zina-assume kila mtu ni msafi, watue kwanza watu mizigo ndipo uwafundishe namna ya kutembea wima
Katika dini ya Kiislamu calmness unaweza kuipata katika Sala, hususan ya Usiku wa manane(Tahajjud). Ukiipata hiyo unaanza kufeel more Love, Compassion, Kumpenda Mungu zaidi, Kujisikia unataka kusifu na kuabudu all the time, Creativity yako inaongezeka, Hofu kwa viumbe inatoweka na unakuwa unaweza kusoma emotions za watu na hata za kwako.
Wisdom inafunguka unatambua kuwa vitu tunavyopambania vingi ni worthless, na Hofu zetu nyingi wala siyo tishio kwetu kivile
 
Nadhani unajaribu kuvuta kama wavutavyo wazoefu, yaani kiuoga ogaaa!

Sasa fanya hivi: sokota urefu na ukubwa wa sigara port, washa vuta yote kwa njia ya kudhibiti moshi wote uishie kifuani mwako.

Hata kama ni kichwa ngumu vipi, lazima utaleta mrejesho.

Kwenye ujana tumejaribu rafu zote hizo nazijua, na uzoefu ninao, siyo napayuka tu.

Mwanzoni, hata mimi nilibishi kama wewe, kila nikivuta nikawa sioni chochote.

Kuwaeleza jamaa zangu, wakaniundia msokoto mzima mkubwa, nikaugonga nikaumaliza, tena mchana wa jua kali!

Ebhanaeeh yaliyonitokea ndiyo yaliyonifanya nisirudie tena, unajua kukoma?

Basi mimi nilikoma na sitakuja kurudia maishani mwangu waalah.
Mark my words bro.
Bangi inamambo ya ajabu kinoma unaona unasikia unakua active kuliko ukiwa kawaida mie nikiivuta sitaki nitembee au niwe kwenye makerere mie nipo nchi za ulaya sasa nilikua nafanya kazi kwenye kiwanda kimoja cha kutengeneza AC za ndani sasa nikajichanganya nikaivuta nikiwa mzigoni weee haahaaa mambo nilio kua nayasikia na kuyaona mule kwenye ile kampuni yalinitisha tokea siku hiyo sijaivuta tena na ile kazi niliacha kuna matambiko yanafanyika kila mproduct inayozalishwa kunasehemu inawekewa mark ya damu ukiwa kawaida unaona ni katone ka rangi kumbe ni damu so kila hiyo product ndani yake kwe cheeses yake kwenye cona ya kushoto lazima hicho kitone kiwekwe na unasikia sound [emoji344] zinazolia wakati wa uzalishaji kuna sauti ya ndege flan ilalia 24/7 muda wote wa production ukiwa huja moka huwezi kuchambua mambo ukimoka kila jambo lina kuja kiuwazi wake hii dunia inamambo mengi kinoma ndio maana wanayaficha make watu wakijua mambo yanayofanyika ufichoni watachizika
 
We hueleweki. Kama ni vitu za kawaida sasa kwa nn elimu yake ifichwe?

Una point ila underestimation yako kwa shrooms ndo inafanya nikushangae.

Shroom ipo kwenye class yake peke yake tofauti na bangi au vitu vingine ni drug kama LSD lkn bado ina spiritual powers kubwa sana.

Sasa kama hiko ni kitu cha kawaida basi ww mwenzetu ni malaika na duniani sio sehemu yako
Unalazimisha mjadala uonekane mzito na wew......

Nachosema nikuw hii mimea ipo lakin haipatikan kila mahali, na ufanyaji kazi wake unaeleweka kabisa kwa watu wanaosomea maelimu ya madawa hasa vitengo vya afya ya akili ( mental health).

Elimu yake inafichwa na baadhi ya watu ili vionekane ni vitu vya ajabu, au ni vitu ukipewa uone aliekupa ananguvu za ziada wakat kiuhalisia ni vitu vya asili na vinapatikana.

Mfano kitu kinaitwa meditation sio cha ajabu, ila kwakuwa watu wengi hawafanyi na hakieleweki kwa upesi baadhi ya jamii hukiona ni chaajabu sana au ni miujiza. Nin huelewi sasa ?? Unanipa mashaka kama mada kama hii unaweza changia lolote !!!!
 
Lingekua dogo usingeandika paragraf yako ya mwisho. Kwa nn wanaficha kama ni dogo?
Sio wanaficha sababu ni jambo dogo......

Nimesema dogo kwa jinsi watu wanatumia nguvu sana kulidadavua. Ni kama mtu asiwetumia pombe ukimuelezea habari za pombe kwa namna ya miujiza atajua ufanyaji kaz wa pombe ni wamiujiza, lakin kama utamuelezea kwa namna ya kisayansi ataelewa kisayansi.

Vivohivyo kwenye nadharia ya miyoga, ni maelezo tu yanafanya tunabisahana na wengine kuzan ni vitu vya ajabu au kufikirika, lakin ukweli ipo na hupatikana na maporini na ni aina ya fangasi. Over
 
Kifupi hii inafungua madudu yote yaliyopo kwenye SUBCONSCIOUS MIND,na kukuacha uchi kabisa upambane nayo live [emoji28]

Hayo madudu ni pamoja na Unprocessed Emotions,Traumas,n.k

Hapo lazima udate mzee..kumbuka hayo madudu umeyaficha kwa muda mrefu mnooo..halafu ghafla yanakuja Live.
Interesting
 
Haina noma hiyo kitu,Iko kama Sigara bwege,Ukijifanya hazikutoshi ndiyo utajikuta unapaa wakati Mbawa huna.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom