Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Sasa kuna watu wanasema inaparalyse mwili, labda walikula ile poisonous, shrooms zenyewe zinakufanya uone maono zaidi ukiwa kwenye hio trip baada ya kuingest
Naonaga kwenye movies tuu watu wakifanya zile deep meditation kwa psychologists alaf wanawekewa na kakengele pemben kina tik tok hadi waamkee... Wengine huona past yao, mabaya, mazuri, wengine wanaona future... 😂😂😂Kumbe ni vitu vipo in reality
 
Em nielekeze sasa nivutaje vutaje, maana nafanya mpaka kutolea moshi puani
 
Mbwembwe tu hizo hakuna lolote
 
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
 
Waacheni hayo mengine wayafanye wenyewe ninyi msidanganyike. Hata walioanza kuuza mihadarati walioanza kwa style hii hii. Leo wanatusumbua kujenga ma soba houses. Waacheni wajifanyie wenyewe hiyo restore facture ya vichwa vyao.
Maswali n mengi ila majibu ni machache....
 
Katika dini ya Kiislamu calmness unaweza kuipata katika Sala, hususan ya Usiku wa manane(Tahajjud). Ukiipata hiyo unaanza kufeel more Love, Compassion, Kumpenda Mungu zaidi, Kujisikia unataka kusifu na kuabudu all the time, Creativity yako inaongezeka, Hofu kwa viumbe inatoweka na unakuwa unaweza kusoma emotions za watu na hata za kwako.
Wisdom inafunguka unatambua kuwa vitu tunavyopambania vingi ni worthless, na Hofu zetu nyingi wala siyo tishio kwetu kivile
 
Bangi inamambo ya ajabu kinoma unaona unasikia unakua active kuliko ukiwa kawaida mie nikiivuta sitaki nitembee au niwe kwenye makerere mie nipo nchi za ulaya sasa nilikua nafanya kazi kwenye kiwanda kimoja cha kutengeneza AC za ndani sasa nikajichanganya nikaivuta nikiwa mzigoni weee haahaaa mambo nilio kua nayasikia na kuyaona mule kwenye ile kampuni yalinitisha tokea siku hiyo sijaivuta tena na ile kazi niliacha kuna matambiko yanafanyika kila mproduct inayozalishwa kunasehemu inawekewa mark ya damu ukiwa kawaida unaona ni katone ka rangi kumbe ni damu so kila hiyo product ndani yake kwe cheeses yake kwenye cona ya kushoto lazima hicho kitone kiwekwe na unasikia sound [emoji344] zinazolia wakati wa uzalishaji kuna sauti ya ndege flan ilalia 24/7 muda wote wa production ukiwa huja moka huwezi kuchambua mambo ukimoka kila jambo lina kuja kiuwazi wake hii dunia inamambo mengi kinoma ndio maana wanayaficha make watu wakijua mambo yanayofanyika ufichoni watachizika
 
Unalazimisha mjadala uonekane mzito na wew......

Nachosema nikuw hii mimea ipo lakin haipatikan kila mahali, na ufanyaji kazi wake unaeleweka kabisa kwa watu wanaosomea maelimu ya madawa hasa vitengo vya afya ya akili ( mental health).

Elimu yake inafichwa na baadhi ya watu ili vionekane ni vitu vya ajabu, au ni vitu ukipewa uone aliekupa ananguvu za ziada wakat kiuhalisia ni vitu vya asili na vinapatikana.

Mfano kitu kinaitwa meditation sio cha ajabu, ila kwakuwa watu wengi hawafanyi na hakieleweki kwa upesi baadhi ya jamii hukiona ni chaajabu sana au ni miujiza. Nin huelewi sasa ?? Unanipa mashaka kama mada kama hii unaweza changia lolote !!!!
 
Lingekua dogo usingeandika paragraf yako ya mwisho. Kwa nn wanaficha kama ni dogo?
Sio wanaficha sababu ni jambo dogo......

Nimesema dogo kwa jinsi watu wanatumia nguvu sana kulidadavua. Ni kama mtu asiwetumia pombe ukimuelezea habari za pombe kwa namna ya miujiza atajua ufanyaji kaz wa pombe ni wamiujiza, lakin kama utamuelezea kwa namna ya kisayansi ataelewa kisayansi.

Vivohivyo kwenye nadharia ya miyoga, ni maelezo tu yanafanya tunabisahana na wengine kuzan ni vitu vya ajabu au kufikirika, lakin ukweli ipo na hupatikana na maporini na ni aina ya fangasi. Over
 
Interesting
 
Haina noma hiyo kitu,Iko kama Sigara bwege,Ukijifanya hazikutoshi ndiyo utajikuta unapaa wakati Mbawa huna.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…