Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

Status
Not open for further replies.
Ulikua umelala au kwenye trip?
 

Weeeee weed haingii hata robo so mtu anaekula weed kali hiyo hawez tumia?
 
Bangi ya wapi mkuu ? Au kushabu ??
 
Sio kila mtu bangi inamzingua mfano mm kvant inanipeleka higher kuliko bangi
Issue sio bangi kukuzingua kwasababu hilo sio lengo,

Lengo lake si anataka kumeditate vizuri akiwa high ?

Nna wasi wasi alikua hajui hata kutofautisha kati ya Indica au Sativa yeye alikua anavuta yoyote inayoitwa bangi na anakutana na kushabu.
 
Arusha maeneo ya makao mapya ukielekea chuo Cha st Augustine kuna bar moja inaitwa Davos utaipata wanauza juice yake pale hadi Leo naonaga wqtu wanasizi Sana baada ya kutumia
 
Mkuu ulivuta bhange na haukuona impact yoyote!

Basi ulivuta bhangi changa au bhangi feki!

Mkuu ukija vuta iliyokomaa, hautarudia tena kuidharau na utakuja hapa na uthibitisho ulionyooka kukiri!
Mkuu Bhangi nimeanza kutumia nikiwa na 5yrs(usiulize ilikuwaje)

Ila wewe elewa hivyo
 
Kiufupi ni kwamba Inafanya Factory resetting ya mind... imagine mind yako imekuwa formatted..na wewe uko live..je ni magumu kias gn utayapitia..ukimess up hapo..ni rahisi kuwa chizi.

Infact naweza kumuongoza mtu anaye hitaji..
Mkuu hii inaweza kusaidia kwa mtu mwenye usonji ambae amechelewa kuongea na kupata uelewa wa vitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…