TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Faida nyingi sana kuliko hasara, ukilinganisha na vilevi vingine!em nipe elimu mkuu
hii kitu inafaida zipi ambazo zimeleta mafanikio kwako binafsi ukilinganisha na hao matajiri uliotaja
- inaongeza ujasiri na kujiamini kupita maelezo
- inaongeza ubunifu na namna ya tafakari
Sijui nikupe mfano gani!
Tuchukulie movie ya zamani kidogo, THE MASK, tu assume kile kinyago ndio ganja, sasa kila character anae kivaa kina mbadilisha ila ni kulingana na yeye jinsi alivyo,
kama ni mtu mwenye fikra ovu basi itazidisha huo uovu mara nyingi zaidi kwa nyanja zote ( ujasiri, kujiamini na ubunifu )
kama utakua ni mtu mwema basi itazidisha huo wema mara nyingi zaidi kwa nyanja zote
Kama ni mchekeshaji basi itazidisha huo ucheshi kwa nyanja zote
Kama ni mzembe itafanya hivyo hivyo maradufu
Kama ni mtu katili basi usipime huo ukatili utakao upata mpaka wewe mwenyewe utajiogopa
Jitathimini kwanza kabla hujaitumia