Je Magufuli aliwafanya wanamtandao kutoka kuwa wanasiasa hadi kuwa genge?

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.

Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo.

Aidha kwa namna ambavyo hayati Magufuli aliendesha siasa zake ni wazi kuwa alikuwa anatumia physic(nguvu) zaidi kuliko hoja katika mapambano yake ya kisiasa huu ni mtazamo wa wengi. Huenda ni kutokana na taarifa alizokuwa nazo katika mamlaka yake.

Aidha ni dhahiri kuwa kabla ya 2020 kundi la wanamtandao lilitumia mbinu za kisiasa zaidi kufikia malengo yao kama vile propaganda, fedha, vyombo vya habari n.k
Nakumbuka kauli moja ambayo ilisadikika miaka hiyo kuwa ni ya kundi hilo (conspiracy) kuwa Penye udhia penyeza rupia.

2015 hadi 2020 ilikuwa ni struggle for survival kwa kundi hilo kwa mujibu wa Polepole na sasa limeshika tena hatamu Je ungekuwa ni wewe(human nature) ungekubali kurudi kwa adha za miaka ile mitano? La hasha

Awamu ya tano kulikuwa na neno maarufu Task force hivi sasa ni Wasiojulikana. Ni dhahiri kuwa siasa za CCM this time sio za upinzani wa ndani bali ni vita ya ndani ya madaraka.

Je Wanamtandao bado wanatumia siasa kupambana au wameamua kutumia mbinu za kimafia kushughulika na wapinzani wao?

Mh Polepole anaijua siasa kweli au Rostam yuko sahihi?

Just imagine mara paaaap wamemnasa Polepole nafikiri story ya Boniphace Mwangi na Agatha itakuwa ndio trailer movie itakuwa mbaya sana ni ya mithili ya Vampires.
 
Kwani yuko wapi ye mwenyewe?

Na inaonekana chamani huko, kila anayedondoka ni ghafla, pilika pilika za maneno zawa kibaaao baada ya kudondoka, watu wakikosa muunganiko

Ndo kusema wengi ni matairi yenye viraka au ndo mtandao mtandaoni?
 
Hapa inatafutwa Oktoba kuwe kushasafishwa mkuu, watu wanafagiana kama upepo wa kusi. Yaani hapa mpango ni kuwahiana na atakayemuwahi mwenzie ndo atakuwa amekuwa mshindi ... Wenye zile "LTK" nao ndo wakati wao huu wa kutumika ...kazi yao ni moja tu (to kill).
 
Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.

Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo.

Aidha kwa namna ambavyo hayati Magufuli aliendesha siasa zake ni wazi kuwa alikuwa anatumia physic(nguvu) zaidi kuliko hoja katika mapambano yake ya kisiasa huu ni mtazamo wa wengi. Huenda ni kutokana na taarifa alizokuwa nazo katika mamlaka yake.

Aidha ni dhahiri kuwa kabla ya 2020 kundi la wanamtandao lilitumia mbinu za kisiasa zaidi kufikia malengo yao kama vile propaganda, fedha, vyombo vya habari n.k
Nakumbuka kauli moja ambayo ilisadikika miaka hiyo kuwa ni ya kundi hilo (conspiracy) kuwa Penye udhia penyeza rupia.

2015 hadi 2020 ilikuwa ni struggle for survival kwa kundi hilo kwa mujibu wa Polepole na sasa limeshika tena hatamu Je ungekuwa ni wewe(human nature) ungekubali kurudi kwa adha za miaka ile mitano? La hasha

Awamu ya tano kulikuwa na neno maarufu Task force hivi sasa ni Wasiojulikana. Ni dhahiri kuwa siasa za CCM this time sio za upinzani wa ndani bali ni vita ya ndani ya madaraka.

Je Wanamtandao bado wanatumia siasa kupambana au wameamua kutumia mbinu za kimafia kushughulika na wapinzani wao?

Mh Polepole anaijua siasa kweli au Rostam yuko sahihi?

Just imagine mara paaaap wamemnasa Polepole nafikiri story ya Boniphace Mwangi na Agatha itakuwa ndio trailer movie itakuwa mbaya sana ni ya mithili ya Vampires.
Kwenye kila kani kuna kani kinzani inayofanana nayo
 
Kwani yuko wapi ye mwenyewe?

Na inaonekana chamani huko, kila anayedondoka ni ghafla, pilika pilika za maneno zawa kibaaao baada ya kudondoka, watu wakikosa muunganiko

Ndo kusema wengi ni matairi yenye viraka au ndo mtandao mtandaoni?
Ros_tam.......Persian
Ba_she.......Horn of Africa
Ga_Sa_Mo......Central Asia
Hu_Hez_Po.......Germany East Africa

"Who is an indigenous and patriotic among the four above?
 
Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.

Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo.

Aidha kwa namna ambavyo hayati Magufuli aliendesha siasa zake ni wazi kuwa alikuwa anatumia physic(nguvu) zaidi kuliko hoja katika mapambano yake ya kisiasa huu ni mtazamo wa wengi. Huenda ni kutokana na taarifa alizokuwa nazo katika mamlaka yake.

Aidha ni dhahiri kuwa kabla ya 2020 kundi la wanamtandao lilitumia mbinu za kisiasa zaidi kufikia malengo yao kama vile propaganda, fedha, vyombo vya habari n.k
Nakumbuka kauli moja ambayo ilisadikika miaka hiyo kuwa ni ya kundi hilo (conspiracy) kuwa Penye udhia penyeza rupia.

2015 hadi 2020 ilikuwa ni struggle for survival kwa kundi hilo kwa mujibu wa Polepole na sasa limeshika tena hatamu Je ungekuwa ni wewe(human nature) ungekubali kurudi kwa adha za miaka ile mitano? La hasha

Awamu ya tano kulikuwa na neno maarufu Task force hivi sasa ni Wasiojulikana. Ni dhahiri kuwa siasa za CCM this time sio za upinzani wa ndani bali ni vita ya ndani ya madaraka.

Je Wanamtandao bado wanatumia siasa kupambana au wameamua kutumia mbinu za kimafia kushughulika na wapinzani wao?

Mh Polepole anaijua siasa kweli au Rostam yuko sahihi?

Just imagine mara paaaap wamemnasa Polepole nafikiri story ya Boniphace Mwangi na Agatha itakuwa ndio trailer movie itakuwa mbaya sana ni ya mithili ya Vampires.
Basi huyo magufuli akaingia ikulu. Baad ya hapo akamteua mkuu wa taasisi nyeti yule mchungaji. Hakika lilikuwa ni Chagford sahihi.
Akagombana na wana mtandao, nao hawakukata tamaa . Akaitwa kijana wa kusini akapewa mchongo akaombe msamaha. Akasamehewa. Baadae akapeleka umbeya mzee wa ACT na mchungaji wanakujadili huku wanataka wakutoe.
Unasemaje nepi? Ndo vile mzee nakwambilaga. Mzee akatoka na Taulo huku anafoka . Siyo kweli siyo kweli.
Hata mchungaji ananisaliti???
Ah nepi huyu namtoa.
Akamtoa mchungaji, akamuweka mbunge atumani. Atumani ni mwana wa mtandao akamaliza shughuli mapemaa.
 
Back
Top Bottom