Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Hapa inatafutwa Oktoba kuwe kushasafishwa mkuu, watu wanafagiana kama upepo wa kusi. Yaani hapa mpango ni kuwahiana na atakayemuwahi mwenzie ndo atakuwa amekuwa mshindi ... Wenye zile "LTK" nao ndo wakati wao huu wa kutumika ...kazi yao ni moja tu (to kill).Kwani yuko wapi ye mwenyewe?
Na inaonekana chamani huko, kila anayedondoka ni ghafla, pilika pilika za maneno zawa kibaaao baada ya kudondoka, watu wakikosa muunganiko
Ndo kusema wengi ni matairi yenye viraka au ndo mtandao mtandaoni?
Kwenye kila kani kuna kani kinzani inayofanana nayoNewtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Humphrey Polepole ni kuwa kundi analodai ni la Wanamtandao lilikuwepo tangu 1995 hadi sasa inasemekana lipo.
Aidha kwa namna ambavyo hayati Magufuli aliendesha siasa zake ni wazi kuwa alikuwa anatumia physic(nguvu) zaidi kuliko hoja katika mapambano yake ya kisiasa huu ni mtazamo wa wengi. Huenda ni kutokana na taarifa alizokuwa nazo katika mamlaka yake.
Aidha ni dhahiri kuwa kabla ya 2020 kundi la wanamtandao lilitumia mbinu za kisiasa zaidi kufikia malengo yao kama vile propaganda, fedha, vyombo vya habari n.k
Nakumbuka kauli moja ambayo ilisadikika miaka hiyo kuwa ni ya kundi hilo (conspiracy) kuwa Penye udhia penyeza rupia.
2015 hadi 2020 ilikuwa ni struggle for survival kwa kundi hilo kwa mujibu wa Polepole na sasa limeshika tena hatamu Je ungekuwa ni wewe(human nature) ungekubali kurudi kwa adha za miaka ile mitano? La hasha
Awamu ya tano kulikuwa na neno maarufu Task force hivi sasa ni Wasiojulikana. Ni dhahiri kuwa siasa za CCM this time sio za upinzani wa ndani bali ni vita ya ndani ya madaraka.
Je Wanamtandao bado wanatumia siasa kupambana au wameamua kutumia mbinu za kimafia kushughulika na wapinzani wao?
Mh Polepole anaijua siasa kweli au Rostam yuko sahihi?
Just imagine mara paaaap wamemnasa Polepole nafikiri story ya Boniphace Mwangi na Agatha itakuwa ndio trailer movie itakuwa mbaya sana ni ya mithili ya Vampires.
Ros_tam.......PersianKwani yuko wapi ye mwenyewe?
Na inaonekana chamani huko, kila anayedondoka ni ghafla, pilika pilika za maneno zawa kibaaao baada ya kudondoka, watu wakikosa muunganiko
Ndo kusema wengi ni matairi yenye viraka au ndo mtandao mtandaoni?
Wamuite na huyu naye aende huko waliko hana faida kwa nchi, haiwezekani nchi iendeshwe na wahuni ebo!!.RIP Ndugai, msalimie Magufuli, mzee Mkapa, mzee Mwinyi na mwl Nyerere. Wambie Lissu amefungwa kwa kesi isiyoeleweka.
Basi huyo magufuli akaingia ikulu. Baad ya hapo akamteua mkuu wa taasisi nyeti yule mchungaji. Hakika lilikuwa ni Chagford sahihi.Newtons 3rd law of motion inasema To every action there is an equal and opposite reaction. Kwenye kila kani kuna Kani mbadala inayolingana nayo.