The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
yapata bilioni nne kwa mujibu wa taarifa za serikali na vyombo mbali mbali vya habari. Pia kama ulikuwepo 1999 linganisha uliyoona juzi na jana na yale ya mwaka tajwa utapata jibu bila kuhitaji msaada wangu mwanangu. SIyo kila kitu lazima usaidiwe.Amefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?😄😄😄
🤣🤣🤣🤣yapata bilioni nne kwa mujibu wa taarifa za serikali na vyombo mbalimbali vya habari.
Kkkkkkkkkkk🤣🤣🤣🤣
Unapolinganisha vitu, vilinganishe kiusawa.Mazishi ya rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani. Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
Hakuna msiba uliokuwa mzito kama wa Nyerere, hata nyimbo za maombolezo zilitayarishwa kwa weredi sana, hizi za Maghu ni wabana pua watupu, wanajiita all star wakati wapo watano tu.Mazishi ya rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani. Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
Unapolinganisha vitu, vilinganishe kiusawa.
Nyerere alipofariki mwaka 2000, Tanzania ilikuwa na idadi ya watu takriban milioni 33.
Mwaka huu 2021 aliofariki Magufuli, idadi ya Wtanzania imeongezeka karibu mara mbili, makadirio ya worldometrters.info yanatuweka kwenye zaidi ya watu milioni 61.
Unapolinganisha idadi ya watu waliotokea kwenye tukio la kitaifa miaka ya nyuma na sasa inafaa uangalie ongezeko hii la watu.
Jakaya Kikwete alifanikiwa ktk Maendeleo ya Watu na Maendeleo ya Vitu Mpango wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2005 kwa kipindi cha 2005 hadi 2010 in SearchWorks catalog .In April 2013, the construction of the first phase of Terminal III, kicked off. The terminal is capable of handling 3.5 million passengers per year. The Tanzania Airports Authority signed the terminal contract with BAM International of the Netherlands.
According to close observers, the late president’s legacy has drawn mixed reactions from within and outside the country. Magufuli came to power in October 2015https://www.brookings.edu/blog/africa-in-focus/2021/03/20/africa-in-the-news-africas-economic-outlook-tanzanian-president-magufulis-passing-and-cars-election/
Hivi akili zenu huwa mnarudishiwa baada ya muda gani? Kwa akili ya kawaida huwezi kushindanisha marehemu kwa wingi wa Waombolezaji. Halafu mshindi apate nini labda?Mazishi ya rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani. Nini mawazo yako juu ya dhana hii?