Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Billion nn4 na ushee... World recordAmefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?[emoji1][emoji1][emoji1]
Billion nn4 na ushee... World recordAmefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani mwalimu nyerere alitembezwa kama bizaa?Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa...
Hivi mnatumia vigezo gani kusema "hakupendwa na mabeberu"?! Tanzania iliwahi kukatiwa hadi misaada wakati wa Mwalimu! Huyo JPM lini alikatiwa misaada?! Acheni hizi porojo za kumpaisha kwa kumpa sifa zisizo zake!! Hivi Jiwe angekuwa hapendwi na mabeberu hata hiyo mikopo ya mabeberu angepata?! Kwa mara nyingine, umetumia kigezo gani kusema alikuwa hapendwi na mabeberu?!1) Hawakupendwa na Mabeberu
2) Walipendwa Mno nchini mwao na Wanyonge
3) Walileta maendeleo sana kwa muda mfupi
Unaelewa tofauti ya Rais kufariki akiwa madarakani na akiwa amestaafu?Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa...
In addition to that, social media wakati wa Nyerere was almost nonexistent. Pia wengi walishapata taarifa kuhusu “kupotea kwake”, Na pia kuhusu yeye kuwa “COVID-19 denier”Unapolinganisha vitu, vilinganishe kiusawa.
Nyerere alipofariki mwaka 2000, Tanzania ilikuwa na idadi ya watu takriban milioni 33.
Mwaka huu 2021 aliofariki Magufuli, idadi ya Wtanzania imeongezeka karibu mara mbili, makadirio ya worldometrters.info yanatuweka kwenye zaidi ya watu milioni 61.
Unapolinganisha idadi ya watu waliotokea kwenye tukio la kitaifa miaka ya nyuma na sasa inafaa uangalie ongezeko hii la watu.
Unapolinganisha vitu, vilinganishe kiusawa.
Nyerere alipofariki mwaka 2000, Tanzania ilikuwa na idadi ya watu takriban milioni 33.
Mwaka huu 2021 aliofariki Magufuli, idadi ya Wtanzania imeongezeka karibu mara mbili, makadirio ya worldometrters.info yanatuweka kwenye zaidi ya watu milioni 61.
Unapolinganisha idadi ya watu waliotokea kwenye tukio la kitaifa miaka ya nyuma na sasa inafaa uangalie ongezeko hii la watu.
Msiba wa Nyerere haukufanyiwa siasa kama hii. Haukuwa show hizi.yapata bilioni nne kwa mujibu wa taarifa za serikali na vyombo mbali mbali vya habari.Pia kama ulikuwepo 1999 linganisha uliyoona juzi na jana na yale ya mwaka tajwa utapata jibu bila kuhitaji msaada wangu mwanangu. SIyo kila kitu lazima usaidiwe.
Tofautisha nyakati chaliiMazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa.
Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea.
Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani.
Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
Nyerere kwanza kifo chake watu walichanganyikiwa sidhani ata kutembea Walisema.Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa.
Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea.
Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani.
Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
3.9 billion cmchezo R I P JPM.
Kuna uzushi duniani ameuliwa cause alikuwa anti vaccine.Na dunia nzima kuna covid na asilimia nyingi kubwa hawataki vaccine .Halafu alikuwa kama trump very controversial na strong man dictator wanna be na mara nyingi sana watu wanapenda watu wa aina hii .Magufuli nick name yake Africa Trump like3.9 billion cmchezo R I P JPM.
Kutazamwa na watu 3.9 billion siyo kitu cha kawaida,
Magufuli alikuwa kipenzi cha watu 🤔