Right, mwaka 1999, so the population was even lower than 33 million Tanzanians.Mwaka 1999 ....
Hiyo ni dhana yako tu.Mazishi ya rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani. Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
Ila Askofu Gwajima kweli Nyoko! Yaani hakumfufua kipenzi cha waTZ kadai kukausha utafikiri hakuwahi kufufua. Anshindwa kulipa fadhila za kuwekwa bungeni. Binaadamu sio watu!Ingekuwa kama maombolezo ya marehemu yanamrudishia uhai marehemu, hakika idadi ya wanaoomboleza ingekuwa na hoja kubwa.
Naungana nawe misiba ya Ruge na Mengi, utaratibu ulieleweka, hapa kuna watu, wametumia hii loophole ya upya wa Rais, ndiyo maana ya kuwa na mkalimani yule. Shame!Hakuna msiba uliokuwa mzito kama wa Nyerere,hata nyimbo za maombolezo zilitayarishwa kwa weredi sana,hizi za Maghu,ni wabana pua watupu,wanajiita all star wakati wapo watano tu...
Sasa hoja iko wapi hapo! Mataga hamjitambui kabisa!Unayo Hoja... Lakini Ngoja Waje 'Wazee Wa Kulalamika Na Kupinga' Tuone Watasemaje?
Huwa tunasema kuna watu huko bara vijijini wanajua kuwa bado Nyerere ndio rais wa nchi 😀Hiyo ni dhana yako tu.
Huyu mmemfanyia promo sana, Nyerere angefanyiwa hivi pangekuwa hapatoshi
Halafu huyu bado alikuwa madarakani, unamlinganisha na kiongozi aliyeisha stafu miaka mingi?!!kuna factors nyingi za kuangalia!!unaweza kukuta ukiweka factors zote sawa, mwalimu Nyerere akawa aliagwa na watu wengi zaidi.Lkn pia ni vizur kuangalia vitu kama miaka mingapi imepita na idad ya watu kipindi hicho pamoja na teknolojia za vipindi vyote viwili
Na pia kuangalia tofauti ya kiteknolojia, kwa sasa mawasiliano na vyombo vya habari vimeongezeka sana hivyo kuvutia watazamaji wengi zaidi ya 1999. Kwa hali ya kawaida Magufuli hawezi kumfunika Nyerere kwa njia yoyote ile.Unapolinganisha vitu, vilinganishe kiusawa.
Nyerere alipofariki mwaka 2000, Tanzania ilikuwa na idadi ya watu takriban milioni 33.
Mwaka huu 2021 aliofariki Magufuli, idadi ya Wtanzania imeongezeka karibu mara mbili, makadirio ya worldometrters.info yanatuweka kwenye zaidi ya watu milioni 61.
Unapolinganisha idadi ya watu waliotokea kwenye tukio la kitaifa miaka ya nyuma na sasa inafaa uangalie ongezeko hii la watu.
back then kulikuwa hakuna media coverage kubwa kama sasa. thats a huge difference.yapata bilioni nne kwa mujibu wa taarifa za serikali na vyombo mbali mbali vya habari.Pia kama ulikuwepo 1999 linganisha uliyoona juzi na jana na yale ya mwaka tajwa utapata jibu bila kuhitaji msaada wangu mwanangu. SIyo kila kitu lazima usaidiwe.
Ni ujinga tu kufananisha maziko ya nyerere na magufuli Nyerere baada ya kufa London aliletwa dar akaagwa kwa heshima sio kwa festival na kusafirishwa kwao kwa mazishi huyu kafanyiwa maonesho na kuangaishwa kila pahala na kupelekea watu chunguzima kupoteza maisha maiti hasemi tu lakini upuuzi huu uliopoteza mamilioni ya shilingi hata magufuli asingeukubali haya yote yaliyofanyika yalikuwa ni maonyesho hata huoni watu walivyokuwa wanashangilia kwa nderemo .Mazishi ya rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona haraiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo ya corona, haijawahi kutokea. Kwa hivyo, anaingia kwenye historia kama mtanzania aliyezikwa na watu wengi ukiachia mbali kufautiliwa na wengi duniani. Nini mawazo yako juu ya dhana hii?
Hata Pope John Poul II hakutazamwa na watu kama hao, namananisha watu hawakufuatilia wengi kiasi hicho.Kutazamwa na watu 3.9 billion siyo kitu cha kawaida,
Magufuli alikuwa kipenzi cha watu 🤔
Eti 3.9 billion 🤣🤣🤣Amefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?😄😄😄
3.9 billion cmchezo R I P JPM.Amefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?[emoji1][emoji1][emoji1]
3.9 billion cmchezo R I P JPM.Amefuatiliwa live na watu wangapi dunia nzima?[emoji1][emoji1][emoji1]