DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yeah ni kweli..zile chuma wanazochomea zile,
kama sijakosea zisiposafishwa mara kwa mara zinakuwa si salama
sijui ni kutu ama nini
DR Mambo Jambo
Bongo kila mtu ni dokta, ni mtaalamu wa magonjwa.Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals
Watanzania neno chemical tunavoliewa ni tofauti sana yaani tunajua chemical lazima iwe harmful tu! chemical ni muunganiko wa atom kadhaa na katika uwiano fulani ambao utafanya mada hiyo iweze kuishi na bila kuingilia na nyingine katika kiwango cha idadi ya atom kwa maelezo hayo hata maji ni chemical chumvi sijui Carbon dioxide vyote hivo! sasa ukisema mahindi yalokuzwa kwa chemical binafsi nashangaa yatakuzwa na nini sasa kama bila chemical? we mwenyew umeundwa kwa chemical zinazoitwa carbohydrates, lipids, proteins, amino acids na vitamins!Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals
Limeanza lini tena hilo tatizo mkuu?Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals
Uduni hiyo ni food value, mwenzako kauliza kama kuna madhara kuyafakamia.Mahindi na products zake kama Makande, Uji, Ugali, Mahindi ya Kuchoma, Bisi nk ni vyakula duni kabisa.
Nachofahamu hakuna Jambo chini ya Jua lisilokuwa na hasara kwahio angalia afya yako TUHabari wakuu,
Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu
Halow halow🤣🤣😜, nimecheka kipumbaf mie.Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?
Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...🤣
Sasa cha ajabu, wakayapenda wakwa wanataka tena...😂
Umeshaokota hela umeanza maringo?Sasa mahindi/ugali/makande/nkeketo(popcorn za kienyeji) si vimetukuza hivyo?Huo ubaya wake umetokea wapi?Habari wakuu,
Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu
Eeh bhana,hatujaanza leoToka enzi za mababu wanayala , mbona fresh tu.
Sio rahisi kujua kila kitu joh.Mkuu hao watoto wamekulua Ulaya wasio jua au kuona mahindi ya kuchoma? Kwasabb hap Dar kila sehemu wachoma mahindi wapo hata Uzunguni
Mkuu....Watoto zako wamekulia kwenye magorofa.
Si kweli.Watu tunakula mapera kwa uji hapa.Humu jf wote wakishua
Watoto wa maghorofani hawajui mambo ya kiasili, wengi wao Ni maisha ya ki-artificial. Hawawezi kutamka mama (wao husema mummy), hawawezi kutamka Baba (wao husema daddy).Mkuu....
Hivi wewe unaona watoto wa maghorofani ndio wananini kwani...🤨
Watoto wanaweza wakaishi kwenyenyumba ya kupanga na bado mzazi uka maintain cycle yao ikawa ndogo sana kwa maana ya shule, kusali na nyumbani.
So sio jambo la ajabu mtoto kuto kuyajua mahindi ya kuchoma..🤗
Ukifatilia kila kitu watakuambia kina madhara
mahindi ni mazuri yanakuwa na proteins za kutosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?
Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...[emoji1787]
Sasa cha ajabu, wakayapenda wakawa wanataka tena...[emoji23]