Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

Yanaweza kusababisha colon cancer especially those grown with chemicals
Watanzania neno chemical tunavoliewa ni tofauti sana yaani tunajua chemical lazima iwe harmful tu! chemical ni muunganiko wa atom kadhaa na katika uwiano fulani ambao utafanya mada hiyo iweze kuishi na bila kuingilia na nyingine katika kiwango cha idadi ya atom kwa maelezo hayo hata maji ni chemical chumvi sijui Carbon dioxide vyote hivo! sasa ukisema mahindi yalokuzwa kwa chemical binafsi nashangaa yatakuzwa na nini sasa kama bila chemical? we mwenyew umeundwa kwa chemical zinazoitwa carbohydrates, lipids, proteins, amino acids na vitamins!
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?

Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...🤣

Sasa cha ajabu, wakayapenda wakwa wanataka tena...😂
Halow halow🤣🤣😜, nimecheka kipumbaf mie.
 
Watoto zako wamekulia kwenye magorofa.
Mkuu....
Hivi wewe unaona watoto wa maghorofani ndio wananini kwani...🤨
Watoto wanaweza wakaishi kwenyenyumba ya kupanga na bado mzazi uka maintain cycle yao ikawa ndogo sana kwa maana ya shule, kusali na nyumbani.
So sio jambo la ajabu mtoto kuto kuyajua mahindi ya kuchoma..🤗
 
Watoto wa maghorofani hawajui mambo ya kiasili, wengi wao Ni maisha ya ki-artificial. Hawawezi kutamka mama (wao husema mummy), hawawezi kutamka Baba (wao husema daddy).

Nakupongeza Sana "daddy Ushimen " kwa maisha ya ki-artificial kwa watoto zako.
 
Tuliwahi kupita yanachomwa sehem, wanangu wadogo wakaniuliza eti hizo ni nini?

Nikawaambia ni keki toleo jipya, nikaona wasintanie nikanunua kama mahindi sita ambayo hayaja chomwa kesho yake nikaamrisha yachemshwe ndio iwe kitafunio cha chai...[emoji1787]

Sasa cha ajabu, wakayapenda wakawa wanataka tena...[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom