Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

Je, mahusiano bila kufanya mapenzi ni sawa na urafiki tu?

Sawa Na Mwanamke Asiye Na Chura Akivaa Dera Ni Sawa Kama Amevaa Pazia.
 
Huko ni kupotezeana muda,ukishakuwa mtu mzima hutataka kusikia huo ujinga.kwa watoto wa form 2 sawa!
 
Ngono kabla ya ndoa ni dhambi kwa imani yoyote ile hata za mababu. Kama unataka kula tunda muoe kwanza.
NB: Mimi nimekumbusha tu kuhusu dhambi na silazimiki kufuata ushauri niliotoa. Fuata maneno yangu usifuate vitendo.
Dhambi kwa nani na alikuambia lini na mbona kakuambia peke yako hajaniambia Mimi
 
Back
Top Bottom