Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

Ccm ni mafii
 
Wameshawahi kukuomba kuwa wanataka wainuliwe? Kuinuliwa ni kufanyaje?

Acha shobo na maisha ya watu.
Mkuu nadhani ungejibu mbele ya camera usingeongea huu utoporo

Ni aibu kuishi kama wanyama karne ya 21
Hii pia ina rasmisha unyanyasaji unaofanyika dhidi ya mtu mweusi kwa kumuona kama bado mnyama, jamii isiyostaarabika na inayotakiwa kutawaliwa au kuondolewa.

Lakin pia hamna nchi inayoweza kuendelea kama jamiii zake zinaishi maisha ya kinyama au yasiyo na mchango kwa taifa.
Mfano kulipa kodi
Kufanya shughuli zinazochochea maendeleo
Kutumikia taifa (kupitia elimu za nyanja tofaut tofaut)

Fikiria kwanza kama kuna hoja lete
 
Wameshawahi kukuomba kuwa wanataka wainuliwe? Kuinuliwa ni kufanyaje?

Acha shobo na maisha ya watu.
Mkuu nadhani ungejibu mbele ya camera usingeongea huu utoporo

Ni aibu kuishi kama wanyama karne ya 21
Hii pia ina rasmisha unyanyasaji unaofanyika dhidi ya mtu mweusi kwa kumuona kama bado mnyama, jamii isiyostaarabika na inayotakiwa kutawaliwa au kuondolewa.

Lakin pia hamna nchi inayoweza kuendelea kama jamiii zake zinaishi maisha ya kinyama au yasiyo na mchango kwa taifa.
Mfano kulipa kodi
Kufanya shughuli zinazochochea maendeleo
Kutumikia taifa (kupitia elimu za nyanja tofaut tofaut)

Fikiria kwanza kama kuna hoja lete
 
Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?

Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? 😂😂

Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
Nimaisha ya aina hyo ndio yalitufanya tutawaliwe tusiweze kupambana na maadui….

Nadhani naww akili yako haifikiri vizuri
 
Kwaiyo ushauri wako tudumishe uzamani??
Tuishi kama wanyama kujaza wazungu??

Wazungu wapi wanaomiminika?? Unaosemea Tz haipo kat hata ya nchi 20 zinazoingiza watalii wengi duniani??
Kwasababu wazungu wachache wanaenda kuwachukua video na kutazama unajua wanawapenda??


Ni video hizo hizo na picha zinazotumika kuendeleza ubaguzi na kurasmisha uovu wa jamii ya muafrika dunia ikiamini hastahiri kuwa binadamu kwa aina ya maisha na akili yake.
Hamna tamaduni ya kula nyama mbichi wala ya kula nyama mbichi ni ukosefu wa maarifa ya kuboresha maisha.

??
 
Nadhani umri wao wa kuishi unaweza kuwa around 98 au 100
Fanya research huwezi kua unakula nyama mbichi na nyani uishi miaka mingi
Au hujui athari za magonjwa milion yanayotokana na nyama mbichi au magonjwa yasiyotibika ya wanyama pori
 
Acha waishi ivo tena Serikali iendelee kuwapa Ulinzi na Kuwafanyia Close supervision Ili wasitoke kwenye hio Culture Kwasababu tayari hao ni iconic

Turejee duniani Kuna Makabira yako isolated hao wahzabe Bado sana Kuna watu wanaitwa Sentinels wapo India uko Kwa kweli wao hata Vacine hawana na wanaishi maisha ya Kijima haswa na Serikali imeamua kabisa kuwa hairuhusu intruders yoyote kuchangamana nao mana ukipeleka magonjwa haya ya duniani utawaua ivo hawako accessible kabisa

Na Serikali imeamua Kufunga Icho kisiwa na kuamua kuwaacha hapo bila interaction yoyote na intruders
 
Waafrika bado tunataka kila kitu kiwe kwa standard ya wazungu.

Wazungu wao hawatujali sisi, lakini sisi macho naakili zote tuna taka approval za wazungu.

Hatuna standard zetu tuna copy na kufuaya mikumbo.
Akili yako ndo inawaza hivo….
Tunataka jamii iliyoendelea syo standard ya mzungu….
Ni ukoloni ndio umekufanya uone maendeleo ni utamaduni wa mzungu.

Japan iliendelea miaka mingi sana kuna mzungu kule
Leo china inazizidi nchi zote za wazungu kiuchumi na baadhi ya technologia nae n mzungu???
Misri ilikua nchi ya kwanza kugundua maandishi na technologia ambayo ad leo dunia haijapata majibu ni mzungu huyo??

Tofautisha tamaduni na Technologia
 
Kwahiyo unataka watoke msituni waje kupanda Mwendokasi za Kimara na Miamvuli ndani ya gari?
 
Pointless
Iwalinde kwa pesa ya nani??
Yaani wengine wakatwe kodi ili kulinda wala nyani??
Ni wajibu wa kila raia kulipa kodi afu ndo udai ulinzi
 
Kwan kuna sehemu nimesema wahamishwe

Ujinga ulisomea wap ww
Hao sio wa kwanza duniani hii kuishi Vile, Kuna Communities zipo isolated kabisa na watu na zinaishi Kijima kuliko hao wahzabe wasome watu wanaitwa Sentinels
 
Asia watu kama wahadzabe wamejaa, tamaduni za namna hiyo zipo sana na hawaziachi.

Youtuber wa kimataifa huenda huko kujionea jamaa wanavyowinda na hata kula samaki wabichi kabisa.

Afanye muhadzabe aibu uone wewe, acha unafki.
 
Nadhani naww akili yako iko KM1000 nyuma…
Rationale zako zinakosa mashiko
 
Pointless
Iwalinde kwa pesa ya nani??
Yaani wengine wakatwe kodi ili kulinda wala nyani??
Ni wajibu wa kila raia kulipa kodi afu ndo udai ulinzi
Wewe unafikiri ni mapato kiasi Gani Serikali inapata kwenye utalii wa wale jamaa? Unajua ni wageni wangapi wanamiminika kwenda kuwaona tena kwa kulipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…