Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Jamaa mjinga kweli? Kuna siku atasema pia Wamasai wawe transformedAsia watu kama wahadzabe wamejaa, tamaduni za namna hiyo zipo sana na hawaziachi.
Youtuber wa kimataifa huenda huko kujionea jamaa wanavyowinda na hata kula samaki wabichi kabisa.
Afanye muhadzabe aibu uone wewe, acha unafki.
Ndio tuwe proud nao just kama Wamasai wanavyoishi vile mbona tuko proud naoKwaiyo??? Tujivunie??? Au tujielimishe??
Lete dataUnataka nikusaidie takwimu au nikusaidie kuwaza
“Hamna anaeamuaga kubadilika bila kubadilishwa”Hayo ni maisha yao ndo mtindo wa maisha yao.kama Kabadilika wataamua wenyewe.
Unawajua WA AMAZON?wao mpaka sasa wanaishi kwenye msitu wa AMAZON huko america
Wewe ndio Mjinga unataka watu wafanane ivi unaelewa ata nguvu ya diversity kweli?Siyo masai Ww hapo uwe transformed
Akili yako iko karne mbili nyuma
Kumbe huna data zozote, Kwa kifupi hao jamaa contribution zao kwenye taifa kupitia hio Culture issue zao zinaleta mapato mengi zaidi kwenye Serikali pengine kuzidi hata kabila lako ukoSasa unatetea usichokijua……
Hopeless sana ww
Unahitaji kua transformed hiyo akili
Hao watu. Wa misituni wapo mpaka huko america ambapo sisi tunaona wame elimika hawana elimu,japo wapo marekani,wanaishi misituni,wanakula wanyama na ndo maisha yao.mjini hawapajui“Hamna anaeamuaga kubadilika bila kubadilishwa”
We mwenyewe umebadilishwa na elimu lakini utotoni ulikua hupend shule
Kwaiyo??? Tujivunie kutokua na elimu na kuishi misituniHao watu. Wa misituni wapo mpaka huko america ambapo sisi tunaona wame elimika hawana elimu,japo wapo marekani,wanaishi misituni,wanakula wanyama na ndo maisha yao.mjini hawapajui
Ulibahatika hata kwenda shule lakini??Kumbe huna data zozote, Kwa kifupi hao jamaa contribution zao kwenye taifa kupitia hio Culture issue zao zinaleta mapato mengi zaidi kwenye Serikali pengine kuzidi hata kabila lako uko
Uko sahihiiJapo ndo Maisha waliyoyachagua lakini kwangu binafsi naona Kama sio sawa
Wewe imagine mtu haogi yaani kwao hakuna kitu kuoga
Unazaliwa mpaka unakufa hujagusa maji
Mhadzabe akifa hawaziki Bali wanamtegeshea fisi ndo anakuja kula hiyo maiti
Hakuna kulima hawajui shamba hawajui cha duka Wala Nini wao ni pori pori
Nina wasiwasi pengine baadhi yao hata Raisi wa Tanzania hawamjui
Sio Kila mtu anaona kuwa na ELIMU NI UFAHARI.Kwaiyo??? Tujivunie kutokua na elimu na kuishi misituni
Hamna stress wala kuwaza kuwekeza ,maisha safi kabisa😂Wale Wahadzabe siwashauri kubadili mfumo wa maisha yao, bora waendelee na life lao NO BILLS, NO RENT, NO POLITICS, NO LIFE COMPETITION, NO LIFE PRESSURE etc, AND NO PROBLEM 😄😄