Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

Kama ndivyo hakuna haja ya utalii!
 
Umevaa nguo au uko uchi?
Umekunywa chai au umeenda poriti kuokota matunda pori??

kwanje mtu anaweza akajua uko timamu
Si unataka usasa ...firimbwa .... Waache wahadzabe na taratibu zao ...
 
Dunia haina uhuru huo unao ufikiria tangu mwanzo ni mwenye nguvu kumtawala asiye na nguvu na anaeishi maisha kama nyan
Uhuru upo, ndio kama hao wahadzabe na wamasai. Mila zao hawaingiliwi bado wanaziendeleza waziwazi.
 
Hivyo vitu ulivyovitaja ndio vinavyotupatia STRESS na mwisho wa siku ukosefu wa afya ya akili, sonona, bifu, usaliti, michepuko hatimaye kesi juu ya kesi, migogoro hadi kifo. WA-HADZABE wameepuka hivyo vitu kwa wingi.
Usaliti na michepuko usiingize hapa.
 
Maisha yaasili yapo hata kwenye jamii zilizoendelea, hata sijui ume panick nini, kwani wakiishi hivyo wanavyoishi wewe unaumia nini au unapungukiwa nini?

Waache waishi kwa standard zao.
Hata china na japan kuna makabila yanayoushi hivyo maporini kufuata mila zao.

Marekani pia wapo red indians au native americans wanaishi hivyo.
 
Si unataka usasa ...firimbwa .... Waache wahadzabe na taratibu zao ...
Unatumia smartphone
Unatv
Unaishi kwene nyumba ya kisasa
Unapanda gar kama usafir
Unatumia internet
Unalipa kodi
Huo ni usasa! Je ushafirimbwa kwa kua na huo usasa!
Kama una issue na sexuality ni tatizo lako usihusishe maendeleo na shida zako za ujinsia
 
Ni ujinga na upuuzi. Wanaona sifa. hawa ilikuwa ni kuwalazimisha kubadilika kwa nguvu, faida wataiona huko mbele
If life came without manual book, kwanini wewe uwaforce waishi jinsi wewe unavyoishi?. Una uhakika gani maisha unayoishi wewe yanafaida?
 
If life came without manual book, kwanini wewe uwaforce waishi jinsi wewe unavyoishi?. Una uhakika gani maisha unayoishi wewe yanafaida?
Kuna nchi inaendeshwa bila kodi??
 
Stlye ya maisha ya watu ni aibu kivipi
 
Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?

Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
Nyumbu hao
 
Mdharau asili hufa kikatili. Kama utamaduni wetu ungeenziwa vizuri huenda tungeondokana na utegemezi wa madawa ya binadamu kutoka nje ya nchi badala yake tungekuwa tumefanikiwa kuziboresha dawa zetu za asili ambazo hazikuwa na kemikali zenye madhara ya muda mrefu.
Pia ingesaidia kuepukana na magonjwa kadhaa kama saratani za aina mbalimbali kwa kula vyakula vyetu vya asili ambavyo mbegu zake sio matokeo ya GMO's na utegemezi wa kuagiza mbegu na mbolea nje ya nchi.
Pia mifumo yetu ya maisha ilikuwa inatulinda na magonjwa mengi yasiyoambukiza ambayo yametamalaki kwa kiasi kikubwa hapa nchini.
Tuna wajibu wa kuienzi asili yetu kwa wivu mkubwa
 
Babu ..tombwaaaa ....usinishirikishe...toooombwaaa...
 
Alafu wakishabadilika we utanufaika na nini?

Waache waishi maisha yao. Unataka waanze kuimba "No reform No election" ambayo imeshafeli kama mfanyavyo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Acha ujuaji na kuingilia maisha ya watu wengine.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜
 
Babu ..tombwaaaa ....usinishirikishe...toooombwaaa...
Kama umeshindwa kujibu hayo maswali bas ww unamatatzo binafsi ya sexuality.

Usiunganishe technolojia na ushoga wako
 
If life came without manual book, kwanini wewe uwaforce waishi jinsi wewe unavyoishi?. Una uhakika gani maisha unayoishi wewe yanafaida?
Nyie backwards hamna mchango kwene hii dunia mnatakiwa muishi kwene zoo au hifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ