UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,149
- 14,407
Kama ndivyo hakuna haja ya utalii!Hujaelewa swali.
Kutumia binadamu kama maonyesho kwa ajili ya watu kutoka nje ilikuwa ni moja ya matokeo ya utumwa. Hauoni kama nao ni binadamu na wana haki ya kuishi maisha yao bila kuingiliwa?
Wewe utakubali mimi nije nyumbani kwako alafu nianze kuwapiga picha wewe na familia yako na kuwaangalia jinsi mnavyoishi alafu nirushe mtandaoni? Utakubali?