Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

Kuanzia
Kuanzia mwanzo sikuona nia ya Samia kuhusu hili,mkuu wa majeshi ile hotuba aliyoitoa pale haikuonyeshwa kuungwa mkono na Amiri jeshi mkuu,kuna hisia napata yuko compromised haswa baada ya ile safari ya M7 na Kagame pamoja na Kabarebe kuja Zanzibar kuonana naye...kumbuka wakati wa ile michuano iliyofanyika Zanzibar,Kabarebe alitia kambi kule alikaa Zanzibar kwa wiki kama moja hivi
 
M23 wanapigania haki ndiyo maana wanasonga mbele Kila kukicha. Sisi bakongoman tunataga FARDC bapigwe masase mengi ili Nchi yetu iwe na amani na hatutaki kuwa kama watanzania na uoga wao wa kupigania haki
 
Usiseme M23 sema Rwanda 🇷🇼
 
Majeshi ya Tanzania na Africa Kusini kwa sasa hayana sababu ya msingi kupigana na M23.

Malengo ya kuwepo kwao Congo DRC yamefikiwa.

Na ndivyo walivyosema wazee PK na M7.
 
Jeshi la SADC na vikosi vya UN vimewashindwa M23/RDF.

T14 Armata
 
Majeshi ya Tanzania na Africa Kusini kwa sasa hayana sababu ya msingi kupigana na M23.

Malengo ya kuwepo kwao Congo DRC yamefikiwa.

Na ndivyo walivyosema wazee PK na M7.
Kwa hiyo Drc kwa sasa ina amani na makundi ya waasi yamedhibitiwa ?
 
Jaribu kupitia mikataba ya ulinzi wa Amani Kuna mambo unaweza ambulia.
Tz tuna makundi mawili yote yapo congo kuna la kwanza lipo chini ya UN, It's a peacekeeping force (MONUSCO) hili linajibu tu pale linapo shambuliwa.
Na kundi la pili lipo chini ya SADC

(SAMIDRC)ili ni peace enforcement hili ni vyuma vyuma mzee hakuna utetezi na wapo south Africa, Tanzania na Malawi.​

 
Wanachojuwa ni kukatika uno tu
Na washatuambukiza wabongo maana na ss sahv tunasifika kwa kukata uno
Wale m23 wamejipanga na wamejifuaaa

Ova
 
Si kwamba wamewashindwa.
Suala la msingi ni kwamba SADC na UN wamekuwepo Congo miaka zaidi ya 30 wamefanya nini cha maana hadi lkwaibuka kwa M23?.
Operation zote za kijeshi huko Drc zimeshindwa kuleta amani ya kudumu.
 
Kwani walienda kupigana huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…