My dear friend,SADAC ni walinzi wa amani tu.
Ila kama kuna upande ukikiuka watu hukaa chini na kutatua.
Goma plus M23 plus Kagame forces na labda Museveni forces plus Kenya Forces. wana biashara yao.
Nadhani ndio hapo kuna hatua mpya ambayo sio popular lakini South Africa, Angola,Zimbabwe,Wana majeshi makubwa ya kisasa watakapo fanya vitu vyao.
Mimi nawaomba wasiojua wafungue macho.Rwanda ya Kagame na hata Uganda zipo mashakani.Hivi makombola 50 Rwanda itapona?
Ruto acha unafiki Angola na South Africa wataipasua Port Mombasa.Wake up.