Je, majeshi ya Tanzania na Afrika Kusini yameshidwa na M23?

No hatari kwa ukanda wa maziwa makuu M23 kuingia madarakani DRC
 
Mimi kwa mawazo yangu ukienda kwenye vita ni uamuzi. Kama hatutaki kupigana vita ni bora tutangaze kwamba tumeshidwa na kujitoa sio kuwa nusu nusu maana wanajeshi walibaki tunawaweka kwenye hatari zaidi
 
Mama Samia!! President Samia
!! Nakuita tena Madam Samia!! Kupitia uzi huu najua kuna watu wako wanapita humu; Ombi langu Mama punguza huruma na hawa Wanyarwanda!! Toa Kibali Makamanda wakadhibiti wale wale wahuni pale Bukavu na Goma!! Instability ya DRC ina athari sana kwetu Tanzania kuliko huyu Bwana mdogo Rwanda. Mama hebu ruhusu Makamanda wakapindue Meza. Safari ngoma ipigwe mpaka Kigali. Bila DRac Imara Mama uwekezaji wetu bandarini na SGR hautotupa tija kama tulivyotarajia. Sisi Tanzania tunaweza kabisa kuifanya DRC ikawa Imara na kwa kuweka mifumo dhabiti. Mama hebu fumba Macho Tu Vijana waingie kazini rasmi. Huyu Kagame ni msaliti Mkubwa wala usimsikilize na Ruto nae moja haikai mbili inachomoka!! Mama fanya maamuzi kama Amri Jeshi Mkuu Wananchi na Makamanda tuko nyuma yako asilimia 💯!! Nchi yetu inapaa kiuchumi ila tunaona kabisa Kagame anakaribia kuturudisha nyuma kupitia M 23. Kazi kwako Her Excellence President Samia. I salute 🫡!!
 
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi wa wanajeshi, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo
Nilishawahi kuweka bandiko humu ndani kuhusu hilo.
Ni kwamba jeshi la SADC limepeleka kikosi chake kana kwamba ni kikosi cha kulinda amani.....,peace keeping mission badala ya kupeleka kikosi kwa ajili ya mapigano.
Unachosema waandishi wa habari waulize SADC kwa nini kikosi cha M23 kionekane hakipati upinzani ..jibu lake linajulikana. Wakuu wa SADC walileta siasa...wakakwepa gharama ya kupeleka jeshi na vifaa kama wataalam wa kijeshi walivyohitaji kama kweli wakuu wa SADC wanataka M23 waondolewe DRC. Wakuu wa SADC walifanya kosa moja kudhani kwamba midhali jeshi lao liko ndani ya DRC,basi Rwanda itaona aibu kuisadia M23 kama wanavyofanya siku zote.
Mwaka 2013/14 kikosi kikichopewa kazi kuwaondoa M23 kilikuwa kutoka Tanzania lakini kiliingia kama kikosi cha African Union....kwa hiyo AU mdiyo waliohudumia mahitaji ya jeshi la Tanzania. JWTZ walitumia wiki 2 tu kuwakimbiza M23 kurudi kwao Rwanda na Uganda.
Achilia mbali jeshi la SADC ambalo ni askari 1300 tu waliopelekwa wakiwa na vifaa haba....,jeshi la Tanzania pekee likipewa mandate hiyo na kupewa wanayoyahitaji kama walivyppewa 2014 linatosha kuwapa kipigo M23 na mabosi wao..
Kagame na Museveni wanalijua hilo vizuri sana.
Vita inahusisha intelligence activities,...Rwanda na M23 wasingepeleka vikosi vyao Gomakama wasingejua SADC hawajapeleka kikosi cha kupigana.
Swali linabaki kuulizwa kwa nini wakuu wa SADC walileta maamuzi ya kisiasa katika masuala ya kijeshi. AU 2013 hawakuleta siasa katika maamuzi yao..waliwapa jeshi la JWTZ mahitaji waliyoyataka kuwakabili wapinzani wao.
Unatakiwa kujua Rwnda ni mtoto wa Uganda kijeshi,na Uganda ni mtoto wa Tanzania kijeshi.......ndo maana unaona M23 hadi nyimbo zao za kuhamasishana mchakamchaka ndo zile zile zz kiswahili zinazofundishwa na jeshi la Tanzania Uganda.
 
..M23 ni wavamizi.

..silaha ndogo na nzito walizonazo zimetoka nje ya DRC.

..jambo la kujiuliza ni majeshi ya Tanzania, Malawi, na Afrika Kusini, yalikuwa wapi wakati silaha nzito zinaingia DRC na kupelekea M23 kuwashambulia?

..Ndio maana nasema warudi nyumbani kwasababu hawalindi amani, wala hawaitetei nchi mwanachama wa SADC ambayo imevamiwa.
Hiyo kwamba ni wavamizi ni news kwa vyombo vya west na vile visivyo na habari sahihi.

m23 waliingia Goma wapo more organised na wana nidhamu ya kijeshi kwamba ni full professional.

Hivi wafahamu kwanini M23 wamechukua pia Bukavu kwa haraka?

Jibu no kwamba Intarahamwe walikuwa wakipanga ya 1994.

Sasa hali imetulizwa njia za mawasiliano ziko sawa, watu wameambiwa warudi majumbani na maiti zote zimeondolewa mitaani na mara Goma imekuwa safi sana.

Wanoua watu na kufanya unyama wote ni Ntarahamwe, FLdR na majambazi wengine. Hawa ndo wanofanya mauaji, kubaka wanawake na kuiba mali au looting.

Itachukua muda mwingi kusafisha hili balaa kwani Goma Ina watu milioni 2 itakuwa sawa.
 
No hatari kwa ukanda wa maziwa makuu M23 kuingia madarakani DRC
Ni kweli lakini kwa usalama M23 watakuwa sawa.

Lakini kiufundi kwa maana ya “technical know how” ni lazima watashirikiana na bakongo wenyewe maana ni lazima ufahamu nani ni nani.

Ni lazima kutakuwa na muundo wa jeshi jipya la Congo DRC kwa mfano unotakiwa na itakuwa ni mchujo hasa ili kuepusha mapandikizi.

Isitoshe, nchi jirani zitakuwa zimeambiwa kwenye kikao cha Dar how M23 watafanikisha operation yao.

Kusingekuwa na baraka zote za UN, SADC, west na Marekani, tungeshuhudia vikosi vyote vikiingizwa Congo DRC.

Ndo maana vikosi ya mamluki vimeondolewa kwa misingi kwamba huu ni mgogoro wa Congo na kila mtu akae pembeni.
 
DRC amani itapatikana siku M23 wakichukua nchi. Kuna muda ukweli usemwe. Ile DRC inahitaji sana M23. Wale wanajeshi lenye weredi. Ile nchi unakuta mkuu wa majeshi uwezo wake ni mdogo kuliko semaji Willy Ngoma.
 
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi wa wanajeshi, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo
Kwani mlipoambiwa kuwa wanajeshi wenu wapo huko kama "walinda amani", ulielewa nini!!??
 
DRC amani itapatikana siku M23 wakichukua nchi. Kuna muda ukweli usemwe. Ile DRC inahitaji sana M23. Wale wanajeshi lenye weredi. Ile nchi unakuta mkuu wa majeshi uwezo wake ni mdogo kuliko semaji Willy Ngoma.
Ndyeshimiye raisi wa Burundi hakuhudhuria kikao cha Dar ni kwasababu majeshi yake ya FRDC, ntarahamwe na wazalendo nayo yamezidiwa na kuna deserters wengi wanoogopa kufa.

Kwanini aingiza nguvu nyingi kupigana Kivu ya kusini?

Bado twaangalia Che Guevara asemaje na zipi hatua zifuatazo.
 
Mm binafsi kupitia hili la M23, ndio nimejua vyombo vya habari kwenye mambo ya vita ya DRC wanaripoti uwongo mwingi juu ya M23.
 
Uko sahihi habari nyingi kutoka pale haziko sahihi. Siku hizi kuwa mwandishi wa habari ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuwa na vyamzo ndani ya M23, ndani ya majeshi yenyewe.

Sifahamu ni kwanini baadhi ya vyombo vya West na Africa media wamekula narative kwamba M23 ni wanyarwanda.

Ukiwa mwandishi au mtafiti ni lazima uwe na vyanzo vya maana.
 
Kwani mlipoambiwa kuwa wanajeshi wenu wapo huko kama "walinda amani", ulielewa nini!!??

amani maana yake ni kwamba likitokea kundi kama M23 ni kupigana nalo hata kama ni kuongeza wanajeshi. Kama sio hivto tungepeleka mgambo sio wanajeshi.
 
Nilishawahi kuweka bandiko humu ndani kuhusu hilo.
Ni kwamba jeshi la SADC limepeleka kikosi chake kana kwamba ni kikosi cha kulinda amani.....,peace keeping mission badala ya kupeleka kikosi kwa ajili ya mapigano.
Unachosema waandishi wa habari waulize SADC kwa nini kikosi cha M23 kionekane hakipati upinzani ..jibu lake linajulikana. Wakuu wa SADC walileta siasa...wakakwepa gharama ya kupeleka jeshi na vifaa kama wataalam wa kijeshi walivyohitaji kama kweli wakuu wa SADC wanataka M23 waondolewe DRC. Wakuu wa SADC walifanya kosa moja kudhani kwamba midhali jeshi lao liko ndani ya DRC,basi Rwanda itaona aibu kuisadia M23 kama wanavyofanya siku zote.
Mwaka 2013/14 kikosi kikichopewa kazi kuwaondoa M23 kilikuwa kutoka Tanzania lakini kiliingia kama kikosi cha African Union....kwa hiyo AU mdiyo waliohudumia mahitaji ya jeshi la Tanzania. JWTZ walitumia wiki 2 tu kuwakimbiza M23 kurudi kwao Rwanda na Uganda.
Achilia mbali jeshi la SADC ambalo ni askari 1300 tu waliopelekwa wakiwa na vifaa haba....,jeshi la Tanzania pekee likipewa mandate hiyo na kupewa wanayoyahitaji kama walivyppewa 2014 linatosha kuwapa kipigo M23 na mabosi wao..
Kagame na Museveni wanalijua hilo vizuri sana.
Vita inahusisha intelligence activities,...Rwanda na M23 wasingepeleka vikosi vyao Gomakama wasingejua SADC hawajapeleka kikosi cha kupigana.
Swali linabaki kuulizwa kwa nini wakuu wa SADC walileta maamuzi ya kisiasa katika masuala ya kijeshi. AU 2013 hawakuleta siasa katika maamuzi yao..waliwapa jeshi la JWTZ mahitaji waliyoyataka kuwakabili wapinzani wao.
Unatakiwa kujua Rwnda ni mtoto wa Uganda kijeshi,na Uganda ni mtoto wa Tanzania kijeshi.......ndo maana unaona M23 hadi nyimbo zao za kuhamasishana mchakamchaka ndo zile zile zz kiswahili zinazofundishwa na jeshi la Tanzania Uganda.

Wewe pia unaongea maneno mengi. Tanzania kama nchi binafsi ina manufaa moja kwa moja na Congo. Sasa jeshi letu kulishwa kule Monduli na kukimbia mchaka mchaka kila siku wakati malengo na uhai wa uchumi wa taifa uko hatarini sio powa. Tunatakiwa kama nchi tupeleke jeshi kule kubwa na kuweka mambo sawa kuwe na SADC au kusiwepo kwa manufaa yetu. Malawi wanaweza kutoa jeshi hawanufaiki chochote lakini Tanzania Congo ni sehemu ambayo tungetakiwa kunufaika kuliko nchi nyingine yeyote. wanazungumza kiswahili, majirani na wanatupenda wa congo wa kule mashariki. SADC YA NINI .............. tusimame kama nchi ya Tanzania. Kwani Rwanda imesubiri SADC kuiba madini???
 
My dear friend,SADAC ni walinzi wa amani tu.
Ila kama kuna upande ukikiuka watu hukaa chini na kutatua.
Goma plus M23 plus Kagame forces na labda Museveni forces plus Kenya Forces. wana biashara yao.
Nadhani ndio hapo kuna hatua mpya ambayo sio popular lakini South Africa, Angola,Zimbabwe,Wana majeshi makubwa ya kisasa watakapo fanya vitu vyao.
Mimi nawaomba wasiojua wafungue macho.Rwanda ya Kagame na hata Uganda zipo mashakani.Hivi makombola 50 Rwanda itapona?
Ruto acha unafiki Angola na South Africa wataipasua Port Mombasa.Wake up.
Hakuna nchi wala kiongozi mweusi anayeweza kutuliza DRC. Wazungu siku wakiamua wao ndio watamaliza na Kutatulia. Hizi bandari ndio zinapitisha na makampuni yao kuleta mafuta ya kwenda DRC na wanapitisha madini yote kwenda kwao. Miaka ya karibuni kwenye migodi mikubwa wameboresha mitambo na technology za kisasa kuacha mali hizo mpaka watakapochoka
 
Jeshi la Tanzania limeenda kufanya nini kama ni kupigana tupigane kweli sio kwenda nusu nusu. Nani ataheshimu tena jeshi letu??
Wakilogwa wakaenda kweli, Tanzania haitakuwa na wanajeshi tena. Ifahamike huko hawaendi kuvunjiana mawe kichwani, ama kukubiliana na wapinzani wa Tanzania wasio na silaha.
 
Ndio wameshindwa majeshi yao dhaifu na hawana vifaa vya kisasa,,, wanavifaa vya enzi za ujima
 
Wewe pia unaongea maneno mengi. Tanzania kama nchi binafsi ina manufaa moja kwa moja na Congo. Sasa jeshi letu kulishwa kule Monduli na kukimbia mchaka mchaka kila siku wakati malengo na uhai wa uchumi wa taifa uko hatarini sio powa. Tunatakiwa kama nchi tupeleke jeshi kule kubwa na kuweka mambo sawa kuwe na SADC au kusiwepo kwa manufaa yetu. Malawi wanaweza kutoa jeshi hawanufaiki chochote lakini Tanzania Congo ni sehemu ambayo tungetakiwa kunufaika kuliko nchi nyingine yeyote. wanazungumza kiswahili, majirani na wanatupenda wa congo wa kule mashariki. SADC YA NINI .............. tusimame kama nchi ya Tanzania. Kwani Rwanda imesubiri SADC kuiba madini???
Tatizo letu bado ni siasa...
Tanzania haiwezi kuingia hivi hivi DRC hadi pale itakapoletewa mkono wa INVITATION na DRC kwanza. Na nyuma ya invitation hii,lazima DRC wakubali kulipia gharama za jeshi la TZ kama ambavyo DRC ilivyokuwa inawalipa mamluki toka ulaya mashariki kufundisha jeshi lao. Tanzania haiwezi kukubali kugharimia jeshi lake kwa bajeti ya TZ. Rwanda na Uganda wanaingiza vikosi vyao kwa vile wananufaika na uchimbaji moja kwa moja.
Anayesema vita DRC haiwezi kwisha kwa sababu ya wazungu....kwa vile wanataka kuwepo machafuko wapate sababu ya kubea madini haoni picha kamili kwa sababu moja....hata kukiwa na amani leo DRC mashariki, bado madini atauziwa huyohuyo mzungu. Tofauti ya sasa anauziwa madini hayo hayo na watu tofauti tofauti. Kukiwa na amani,atauziwa na DRC pekee. Kwa hiyo wanaotaka kusikalike eneo la mashariki DRC ni hao watu wa DRC wenye maslahi binafsi na hao wagemi akina Rwanda na Ugamda..japo hao wamekomaa na hilo deal miaka hii ya karibuni.
Kiachotakiwa kufanyika DRC ni rahisi sana kama Tanzania itapewa mandate ya kuwafua. Kwanza kutengeneza nidhamu ya jeshi. Pili, kujenga jeshi la kiufundi, tatu kuwafanya waweke BASE kubwa maeneo yote ya majimbo ya Beni,Kivu kusini na kaskazini.
Awali DRC baada ya kuingia Kabila madarakani walikuwa katik mueleko huo wa kupewa training na JWTz kwa miaka kadhaa. Akataka hata lugha ya kufumdisha mashuleni iwe kiswahili badala ya French. Wangekubali kama ambvyo JWTZ ilivyotoa mafunzo ya nguvu kwa jeshi la Uganda kwa miaka miwili baada ya Idd Amin kungushwa...,leo hii tusingeongelea habari ya M23 wala Rwanda kuingia DRC
 
Congo sasa haijazuia Tanzania kuongeza wanajeshi. Kama faida ni yetu kwanini tusiburi kulipiwa wakati faida zetu ni za huko mbele.
 
Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?

Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.

Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge

Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi ya wanajeshi wetu, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo wa aina gani. Hakuna hotuba yeyote ya kamanda mkuu ambaye ni Raisi.
Inavyoonekana M23 imekuwa mfupa mgumu kwao
 
Back
Top Bottom