Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Kwani kikao cha SADC kilofanyika Dar kiliamua nini?Waondoeni Sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kikao cha SADC kilofanyika Dar kiliamua nini?Waondoeni Sasa...
M23 ina mkono pia wa nchi jirani na Drc (Rwanda)Hizo operations zimeuwa waitu wengi waso na hatia na kutengeneza M23
Kilitaka mapigano yasitishwe na mazungumzo yafanyike...Kwani kikao cha SADC kilofanyika Dar kiliamua nini?
Nimeeleza mahala kwamba kuna mtu kapewa ubia hapo.M23 ina mkono pia wa nchi jirani na Drc (Rwanda)
Hata mkiingia miguu yote kama unavyo dai hamna mtakacho fanikiwa.Sidhani kama Tz wameswashindwa hao jamaa.
Naaamini kabisa huko hatujaingia miguu yote
Kwa miaka yote kongo ilipaswa kuwa na jeshi lake imara kabisa, wakongomani ni watu wastarehe na kujiremba hata raisi wao anaolnekana ni mdhaifu, asiyekuwa na uchungu na kongo ni mhuniCONGO ni shenzi sana
Ka Rwanda Kanaingia mala 90 ya ukubwa wa Congo.
Juzi nilienda Harusini DJ aliweka nyimbo za Congo nilimfuata na kumwambia atoe huo upumbavu haraka sana.
Wale Jamaa ni washenzi sana.
NATAMANI WOTE WAILIOPO TANZANIA WAONDOKE.
Wanaoitwa waasi Congo kwa uhakika ni jeshi la Rwanda. Ukiangalia silaha na vifaa utaona magari ya deraya ya kila namna bunduki na mizinga ya kisasa ya kila namna. Ukiangalia muonekano na maumbo ya askari hao wanaitwa waasi karibu wote ni mbari ya kitutsi ambao Rwanda ni wachache ila ndio wameshika dola.Je Jeshi la TZ and SA limeshidwa na M23?
Maana tunasikia wanasonga tu. Sasa tumefikia sehemu hizi nchi kubwa kwa ukanda wa huku South wameshindwa na M23. Hii ni hatari sana kupuuza au kwenda kwenye vita nusunusu.
Waandishi wa habari wa Tanzania badala ya kuuliza maswali kama haya wanabaki kusifia sifia kila kitu. Yaani miradi yetu ya treni ina maana gani kama hakuna usalama Congo ya mashariki?. Jeshi letu kama halipigani kwa manufaa ya nchi wanabaki kuonyesha misuli kwenye sherehe tu sio powa. Haya ndiyo mambo ambayo jeshi letu linatakiwa kupigania sio kutishia waandamanaji au kusaidia wizi wa kura kwa wapinzani bali kupigania nchi na sio kinyonge nyonge
Watanzania tunabaki kuchekeshwa chekeshwa na serikali kama watoto wadogo. Hii ni dharau kubwa. Hakuna mtu anajua kuhusu mazishi wa wanajeshi, hakuna bendera nusu mlingoti.......... huu ndiyo uzalendo
Hawa walikuwa pale kimaslahi zaidi.Tz tuna makundi mawili yote yapo congo kuna la kwanza lipo chini ya UN, It's a peacekeeping force (MONUSCO) hili linajibu tu pale linapo shambuliwa.
Na kundi la pili lipo chini ya SADC
(SAMIDRC)ili ni peace enforcement hili ni vyuma vyuma mzee hakuna utetezi na wapo south Africa, Tanzania na Malawi.
Sema tanzania na South Africa wamechezea kichapo kutoka Kwa wababe m23 maneno kibao ya nini wakati watu wamerudishwa kwenye masandukuWanaoitwa waasi Congo kwa uhakika ni jeshi la Rwanda. Ukiangalia silaha na vifaa utaona magari ya deraya ya kila namna bunduki na mizinga ya kisasa ya kila namna. Ukiangalia muonekano na maumbo ya askari hao wanaitwa waasi karibu wote ni mbari ya kitutsi ambao Rwanda ni wachache ila ndio wameshika dola.
Ukija upande wa lawama kwa jwtz na jeshi la afrika ya kusini utaona kwa uhakika sio jukumu lao wakati jeshi la kitaifa congo fardc wanakimbia adui kirahisi au kushindwa kirahisi kutokana na ulegelege wa jeshi hilo. Majeshi ya sadc Tanzania na Afrika kusuni walijitahidi kulinda miundombinu kama uwanja wa ndege ila kutokana na uwezo mkubwa waliyokuja nao Rwanda na hao waasi wa kitutsi isingekua busara kujitoa mhanga wakati fardc wenye nchi yao wanakimbia ovyo kabisa kama vile sio jeshi. Isitoshe kwa Tnzania ambayo ilishawahi kuisaidia DRC ikishirikiana na jeshi lao fardc kuwapiga na kuwashinda m23 ila kwa uzembe wao wenyewe waasi walewale wamerudi upya haingekua na maana kumwaga tena damu ya watanzania.
Congo DRC haina jeshi kwa maana ya jeshi na hilo liko kihistoria. Congo DRC haikuundwa iwe nchi kamilli inojitegemea.Wanaoitwa waasi Congo kwa uhakika ni jeshi la Rwanda. Ukiangalia silaha na vifaa utaona magari ya deraya ya kila namna bunduki na mizinga ya kisasa ya kila namna. Ukiangalia muonekano na maumbo ya askari hao wanaitwa waasi karibu wote ni mbari ya kitutsi ambao Rwanda ni wachache ila ndio wameshika dola.
Ukija upande wa lawama kwa jwtz na jeshi la afrika ya kusini utaona kwa uhakika sio jukumu lao wakati jeshi la kitaifa congo fardc wanakimbia adui kirahisi au kushindwa kirahisi kutokana na ulegelege wa jeshi hilo. Majeshi ya sadc Tanzania na Afrika kusuni walijitahidi kulinda miundombinu kama uwanja wa ndege ila kutokana na uwezo mkubwa waliyokuja nao Rwanda na hao waasi wa kitutsi isingekua busara kujitoa mhanga wakati fardc wenye nchi yao wanakimbia ovyo kabisa kama vile sio jeshi. Isitoshe kwa Tnzania ambayo ilishawahi kuisaidia DRC ikishirikiana na jeshi lao fardc kuwapiga na kuwashinda m23 ila kwa uzembe wao wenyewe waasi walewale wamerudi upya haingekua na maana kumwaga tena damu ya watanzania.
Kwa hiyo west wapo tayari kuwaacha Rwanda kuwatumia M23 kuuondoa mamlakani utawala wa Drc uliochaguliwa kwa sanduku la kura ?Nimeeleza mahala kwamba kuna mtu kapewa ubia hapo.
Hivi wafahamu hapo Bukavu kuna madini gani?
Kuhusu Rwanda pia nimesema tayari wao ni client state kwa west.
Sasa muda wote watu wako kwenye sebene, mashujaa wao ni waimba sebene haya kimenuka hawana watu wa kukabiliana na hao m23 maana kila mtu mkata maunoKwa miaka yote kongo ilipaswa kuwa na jeshi lake imara kabisa, wakongomani ni watu wastarehe na kujiremba hata raisi wao anaolnekana ni mdhaifu, asiyekuwa na uchungu na kongo ni mhuni
Yanotokea Congo DRC ni mfano wa Syria.Walinda Amani na wapiganaji ni majeshi mawili tofauti kabisa
Ninavyoona M23 itakuwa ndio serikali mpya DRC na nguvu zinaongezeka kila kukicha
Labda hawa ndio watakuja kulinda rasilimali za hapo na watageukana na hao wanaowapigia chapuo kila leo
Tusubiri tuone
Kwahiyo unataka jeshi likabiliane na m23 Ili serikali iendelee kutesa wananchiSasa muda wote watu wako kwenye sebene, mashujaa wao ni waimba sebene haya kimenuka hawana watu wa kukabiliana na hao m23 maana kila mtu mkata mauno
Ova
Ataka M23 wakauawe kama kuku.Kwahiyo unashauri Jeshi la Tz lipigane kwa ajili ya DRC in full scale? Si ndio uelewa wako?. Unajua mission za UN na sheria zake?. Kama ulienda Mgambo si uende kama jeshi la kukodi? Hata kama ni sungusungu.
Tuna kizazi cha ajabu sana. Acha CCM iendelee . Jf sasa ni FB iliyochangamka
Wazungu wana data namna uchaguzi ulivyokwenda.Kwa hiyo west wapo tayari kuwaacha Rwanda kuwatumia M23 kuuondoa mamlakani utawala wa Drc uliochaguliwa kwa sanduku la kura ?
Hata kama Tshekedi aliibiwa kura Ili ashinde, je kuwatumia Rwanda (M23) kumuondoa madarakani ndio suluhisho la matatizo ya Drc?....huoni hao wavamizi ndio wanaivuruga nchi zaidi huku raia wakiteseka?Wazungu wana data namna uchaguzi ulivyokwenda.
Na hili lipo wazi Tshisekedi aliibiwa kura na walimsaidia kufanya hivyo ndo wanoelekea kumtoa.
Malipo ya dhuluma huwa hapahapa Duniani na si ahera wala peponi.