Uhakika.Nilikuwa nataka nianze maandalizi mapema sema sina uhakika ndo maana nimeamuwa kuuliza kwa wazoefu hata Kwa madaktari walioko humu jf.
Alipigwa utra sound mimba ikiwa na miezi 7 na wiki 3.Inategemea.
Lakini kujibu swali lako, kutategemea zaidi na umri wa mimba, ubora wa mashine na utalaam wa anayeangalia.
Kuna scenario moja, mtaalam yeye aliona kitovu cha mtoto akajua dudu la kiume. Kumbe mtoto ni wa kike.
So, siyo 100% sure lakini uwezekano huwa ni mkubwa sana pia.
Ungesubiri Surprise.Alipigwa utra sound mimba ikiwa na miezi 7 na wiki 3.
50/50 Sisi Daktari alitudanganya tukajiandaa na nguo za kike halafu wife akajifungua wakiumeMambo vip wajf kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema, je majibu ya utrasound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni ya uhakika Kwa asilimia 100 au huwa Kuna saa nyingine inakosea?
Maana nisije kununua rundo la nguo alafu jinsia ikatoka tofauti ikala kwangu.