Je majibu ya utra sound kuhusu jinsia ya mtoto huwa ni %100?

Kama radiographer na ultrasound haziko efficient kwa 90% basi tegemea majibu ya 50/50.

Kama featus haiko positioned vizuri kwa radiographer kusoma, ni likely hutapata majibu ya kueleweka.

Kama machine haina imaging capability yenye viwango, tegemea makosa. Kuna B machine, iko poa, kuna ultrasound with doppler effect, iko poa zaidi.
 
Mh basi ngoja nisubilie azaliwe kwanza ili nifanye kitu cha uhakika nisije nikalamba hasara.
 
Inategemea.

Lakini kujibu swali lako, kutategemea zaidi na umri wa mimba, ubora wa mashine na utalaam wa anayeangalia.

Kuna scenario moja, mtaalam yeye aliona kitovu cha mtoto akajua dudu la kiume. Kumbe mtoto ni wa kike.

So, siyo 100% sure lakini uwezekano huwa ni mkubwa sana pia.
Mimi dokta aliniambia hana uhakika ni jinsia gani ila hajaona makende😂
 
Mh basi ngoja nisubilie azaliwe kwanza ili nifanye kitu cha uhakika nisije nikalamba hasara.
Atapiga ultrasound mara nyingi kama 2 hivi zimebaki zote aulizie jinsia.

Kuna nguo unisex nunua hizo.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Back
Top Bottom