Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

Profesaa

Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
6
Reaction score
4
Wapendwa samahani sana,

Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka?

Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
 
Jamaa yangu ananiambia wameambiwa inakuja mitihani baada ya training na ukifeli unapigwa chini.

Mi siamini kama utumishi wanaweza kufanya hivi
Ndivyo walivyokua wanafanya hivyo, Training ilikua inachukua mwaka mzima pale ITA then wanapiga pepa ukifeli ndio imeisha hivyo.Magu alivyokuja nadhani huo mfumo ulibadilishwa.
 
Back
Top Bottom