Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

Ukishatangazwa na Utumishi kwamba umefaulu usahili na unatakiwa kuripoti kazini, maana yake wewe ni tayari umeshakuwa mwajiriwa wa hiyo Taasisi na kitendo cha kuripoti tu kazini mpango wa kuingizwa kwenye Payroll unaanza na ndio maana wale waliofaulu mchujo wa TRA waliambiwa waende mpaka na vyeti vya ndoa pamoja na vyeti vya kuzaliwa vya watoto, baada ya hapo ndio wakaanza mafunzo, hapo mnakuwa mnapiga mafunzo huku salio linasoma kwenye akaunti kwa maana tayari unakuwa umeshaingia kwenye mfumo wa ajira za serikali na kumbukeni katika hao waliopo katika mafunzo kuna baadhi walikuwa ni waajiliwa wa serikali wa Taasisi zingine kabla ya kufaulu paper za utumishi. Tuache porojo jamaa zangu
 
Back
Top Bottom