Je, majukumu ya nafasi ya Waziri Mkuu yanapunguza nguvu ya nafasi ya Rais kiasi cha kusababisa msuguano baina ya nafasi hizo mbili?

Haya mambo ya kutishiana kupitia vyeo ni ego zaidi ya waafrica...Vyeo kwetu siyo dhamana Bali kama vile Mali binafsi, kama Waziri ni machacharisi atakuwa ana chachafya sector yake? Rais anatishika Kwa lipi? Labda kama ana personal problems ama za inferiority complex or superiority complex ambazo ndizo zipo nyingi kwenye hii Dunia ya tatu.
 
Umemaliza kila kitu
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…