Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Hapa cdm wanabaki njia panda, jiwe alikuwa anawadunda, wakalalamika, mama akawapa mkono wa amani, wakamwita dhaifu, amerudisha wanaowadunda, wanalia tena.

Wakati mama anahubiri Siasa za kistaarabu, Lissu na genge lake walikuwa wanamtupia matusi ya nguoni, haya Sasa, mmeletewa miksa pilipili kichaa na ndimu
Du.....!
 
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
vyeti feki mnahahaa mitandaoni kumchafua jpm
 
Back
Top Bottom