Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Hilo kundi Lina watu wake.Zimwi.likujualo halikuli likakwisha.

Mbona Chalamila yupo siku zote?

Inatakiwa combination ya Makonda,Ally Hapi,Jokate na Shaka.

Itakuwa ni 🔥🔥
 
Hapana! Nadhani anachofanya ni kulileta kundi la hayati Magu karibu na kundi lake ili kupata kura za kutosha za Chama chake, mwaka 2025!
Huenda Sukuma Gang limeshasababisha nyufa kwenye Nyumba, zisipozibwa Nyumba inaweza kuanguka!
 
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Moja ya kosa kubwa chadema walilifanya ni kumkejeli JPM mwanzoni wa utawala wa SSH. Sasa wamekosa vyote. Kura za kanda ya ziwa walizichezea, tukawakanya , wakashupaza shingo. Sasa twende kazi wataona 2024 na 2025 Chama cha zitto kitawapiku viti
 
Hauhisi kuwa ni ubinafsi wa bi tozo kutaka kuwatumia na kuwamwaga baada tu ya kuapishwa tena?
Haupo mbali na ukweli!, Mpango ni kuyaua haya makundi ili nchi itoke kwenye mkwamo wa haya makundi hasa msoga clan! CEO wa msoga anaonekana katulizwa, ni kweli? Au kimya kingi.......?

But ukitumia jicho la tatu hawezi kusumbua tena coz of umri na onyo kupitia kifo cha Mango! Hata vijana wake hawana nguvu tena.Nafikiri wapanga mikakati wa nchi walimuotea sehemu yenye udhaifu wakapiga mshono!

Nafikiri wazee walisema mzee imetosha! Hawa wengine hawasumbui coz hawana mizizi yoyote! Msoga atakumbukwa sana kama mzee wa fitina!
 
Umejipa mamlaka makubwa sana usiyo kuwa na uwezo nayo. Huu "ukweli" unao ushikilia wewe, ni mungu ndiye kakukabidhi ukweli huo ili uje huku kuusambaza kwa waliomo JF?
Ndiyo. Nipo, na nina Uwezo wa kubeba mamlaka niliyopewa na mwenyezi Mungu au na mamlaka hayo pia huyataki niwe nayo?

And, No doubt, the truth is a powerful force, na tuna wajibu wa kuusambaza kwa wengine!
 
Hapana! Nadhani anachofanya ni kulileta kundi la hayati Magu karibu na kundi lake ili kupata kura za kutosha za Chama chake, mwaka 2025!
Kwani ccm huwa inategemea kura ili kupata ushindi kwenye chaguzi??
 
Moja ya kosa kubwa chadema walilifanya ni kumkejeli JPM mwanzoni wa utawala wa SSH. Sasa wamekosa vyote. Kura za kanda ya ziwa walizichezea, tukawakanya , wakashupaza shingo. Sasa twende kazi wataona 2024 na 2025 Chama cha zitto kitawapiku viti
Magufuli anapaswa kutukwanwa, Wala siyo kukejeliwa tu. Alikuwa mwendawazimu, mshamba na dikteta.

Chama cha Zitto hakikumkejeli jiwe? Aliyesema Magufuli ni mashamba na limbukeni siyo Zitto??
 
Sexless ana mkwamo kwenye hatua za maombolezo.

Amebakia kwenye hatua ya "Hasira" tena, amejaa kisirani na kisasi. Kwa majumusho, ana Makasiriko.

Nani anayeonja joto la Jiwe? Ukizingatia tumekuwa na Jiwe moja tu Tanzania, tena.

Sasa, chagua caption yako mwenyewe, 'Maigizo' au 'Maagizo'
201101q.jpg

picha:EATV
Wapo watu wenye nia ovu walipenyeza taarifa nyingi za uongo na zilizokolezwa chumvi ili wamkamate mama na wamfanye mwanasesele! Mama akapelekewa orodha ya maadui wa kuchonga na akajazwa hofu! Kumbe wao ndio wenye nia ovu!!!!

Mungu ni mkubwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Mama anaona na anaona sanaaa! Ameweza kuchambua pumba na mchele! Aheri ya mwisho wa jambo kuliko mwanzo - Mhubiri 7:8-9. Mlifurahia watu kuumizwa kwa Maneno yenu ya kupika! Hasira ya Mungu inaenda kuwashukia muda sio mrefu!!

Muda ni mwamuzi mzuri! Mwacheni mama achape kazi!!! Tuendelee kumuombea! (NANYI MTAIJUA KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU - YOHANA 8:32).
 
Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.

Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
Mama Gani?
 
Nimekuuliza hiyo id yako "sexless" unakijuwa Kiswahili chake?. Hilo siyo jina ni nembo ya kujitambulisha hapa JF tu.

Unafahamu Kiswahili chake?
Kwa kifupi huyu mtoa mada kuna uwezekano ni msagaji
 
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.

Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.

Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.

Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Hpn ccm inazizaka kura za wasukuma kwa kutumia akili na siyo nguvu

Hao wote ulio wataja Ni kundi kubwa ndani na Inawapiga kura wengi kote nnchini
 
Kisiki anayetegemea vyombo vya Dola, au Mimi ndio sijui ukisiki ni nini? Dhalimu mwenyewe alikuwa anapewa kubwa yake live wakati wa kampeni hadi akawa anaenda gereji Kila mara, itakuwa huyo makalio ya mlogalinzila? Cdm hawategemea siasa za mbeleko, unapewa kubwa yako maana hawaendekezi siasa za hisani.
Hahaha...tuliwaambia humu mtu yeyote ataesimama na JPM anaukwaa uRais asubuhi sana, wapumliwa visogoni bado mnaamini JPM aliiba kura...pathetic
 
Ndiyo. Nipo, na nina Uwezo wa kubeba mamlaka niliyopewa na mwenyezi Mungu au na mamlaka hayo pia huyataki niwe nayo?

And, No doubt, the truth is a powerful force, na tuna wajibu wa kuusambaza kwa wengine!
Yashikilie mwenyewe mamlaka hayo, usiwasambazie wengine, ambao na wao wanayo ya kwao.
 
Back
Top Bottom