- Thread starter
- #41
HapanaNimekuuliza hiyo id yako "sexless" unakijuwa Kiswahili chake?. Hilo siyo jina ni nembo ya kujitambulisha hapa JF tu.
Unafahamu Kiswahili chake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaNimekuuliza hiyo id yako "sexless" unakijuwa Kiswahili chake?. Hilo siyo jina ni nembo ya kujitambulisha hapa JF tu.
Unafahamu Kiswahili chake?
Time is a good teacher!No problem, sheria ichukuwe mkondo wake, kesi ya kuendesha farasi bila kuwa na leseni yake, au siyo?
Naona mnapiga kelele tu, kwanini hamwendi kumfungulia mashtaka?
Kazi imeanzaSote tuzikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuziona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Something is cooking 🍳 !Sote tuzikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuziona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Na huo ndio ukweli !Kukujibu tu na siasa zakonza Uhasama uhasama, ni Hivi
SSH kama Amri Jeshi, hahitaji kukimbilia au kujificha kwenye kundi lelote lile and especially lililojaa mawakala na vibaraka wa Nje, haswa hilo unalodai, lilimpigania.
Anahitaji kuwepo nyuma ya Watanzania wanaohitaji ulinzi wakati wanapohitaji ulinzi wa Rasilimali zao.
Wacha kuendekeza Ukoloni mamboleo.
Ngoja Tusubiri tuone !Kazi imeanza
Kikwete & Co wametumia akili kubwaNa hilo kundi la pili, pamoja na kwamba hutaja ni la akina nani hasa (akina Kikwete na genge lake zima, akina Roast?); wakati huu wakiwekwa pembeni, ili kundi la mahasimu wao lipambane kumrudisha mtu wao. Kwa hiyo wanajua wamepewa likizo tu, mambo yatakapokuwa sawa, mama akirudishwa madarakani wanarudi kwa kasi mpya zaidi?
Naomba utukumbushe mkuu, alisema nn vile?Nadhani aliyoyasema RC Chalamila alipokuwa Kagera yalikuwa na ukweli !
Ok. Huyu Bashite bila shaka ni miongoni japo publicly anajifanya yuko kwa jiwe..kilichotokea ni baadhi ya Sukuma gang kuwasaliti wenzao na kusajiliwa ktk Msoga gang.
Binafsi CCM ilianza kunitoka moyoni baada ya kifo Cha magufuli na yale matamshi ya Nape kuwa CCM inawenyewe.Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.
Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
Hapana. Huyu ni mtu muungwana, hataki kulipa kisasi. Jukumu lake ni kuendesha nchi ila kila mtu ajihisi ni sehemu ya taifa hili. Tunatakiwa tukfanyiwa ubaya sisi tulipe wema.Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Kama lengo ni kuleta umoja, mbona Makonda anawazodoa wale wa kundi lingine?Hapana. Huyu ni mtu muungwana, hataki kulipa kisasi. Jukumu lake ni kuendesha nchi ila kila mtu ajihisi ni sehemu ya taifa hili. Tunatakiwa tukfanyiwa ubaya sisi tulipe wema.
Ok. Huyu Bashite bila shaka ni miongoni japo publicly anajifanya yuko kwa jiwe
Hakuna aliyemuweka Samia pale zaidi ya Katiba acha kupoteza muda….Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Mama AbdulMama mama, mama yake nani unamzungumzia?
Mkuu, nina mawazo tofauti kidogo na haya.Naamini nyuma ya mama kuna watu wazito hasa wa kimkakati walioamua kuyaua haya makundi mawili msoga na sukuma gang.
Mama anaenda kuyazika haya makundi rasmi. Namaanisha hivi haya makundi yanaenda kufa.Mbinu inayotumika pamoja na akili ni za hali ya juu mno! Naona kuna ujasusi humu!
Hawa Vijana wanaangalia upepo unavuma wapi , ukielekea kusini na wenyewe wanaelekea kusini. Hawa bado wachanga kisiasa, battle za makundi zitazima ndoto zao kisiasa. So inabidi kubadilika tu Kama kinyonga.Ok. Huyu Bashite bila shaka ni miongoni japo publicly anajifanya yuko kwa jiwe
Katiba kitu gani bwanaHakuna aliyemuweka Samia pale zaidi ya Katiba acha kupoteza muda….