Napata taabu kubwa kumhusisha Kikwete na "akili kubwa.," lakini ndiyo hivyo tena, ngoja tusubiri kuona itakuwaje safari hii.Kikwete & Co wametumia akili kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napata taabu kubwa kumhusisha Kikwete na "akili kubwa.," lakini ndiyo hivyo tena, ngoja tusubiri kuona itakuwaje safari hii.Kikwete & Co wametumia akili kubwa
Labda anaamini kundi jipya lina nguvu kuliko kundi lililomweka MadarakaniSote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Yeye hakuiba kura, alivuka hatua za kuiba kura, yeye alipora mchakato mzima wa uchaguzi, na Wala hilo sio jambo la kificho.Hahaha...tuliwaambia humu mtu yeyote ataesimama na JPM anaukwaa uRais asubuhi sana, wapumliwa visogoni bado mnaamini JPM aliiba kura...pathetic
Wanaelewa sana, wanajitoa akili makusudi.Hahaha...tuliwaambia humu mtu yeyote ataesimama na JPM anaukwaa uRais asubuhi sana, wapumliwa visogoni bado mnaamini JPM aliiba kura...pathetic
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kizeee una hatariSexless = "choko" kwa Kiswahili cha slang za Kariakoo.
Huu ni mwanzo wa "UTUNGU" kuna jambo Mungu anataka kulitendea taifa la Tanzania.Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Dawa inakolea tarrrrratibu, mtaelewa tu 😆 😆Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila liwezekanalo ili waweke mtu wao.
Ikatokea kundi la "wenye nchi" likawa na akili kubwa na ushawishi mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wakakakomaa na kuhakikisha mama anakalia kiti.
Kufuatia kadhia hiyo, tuliona watu wengi waliokuwa watiifu kwa Magufuli wakionja joto ya jiwe baada ya mama kukikalia kiti. Akina Bashiru, Polepole, Ndugai, Lukuvi, Kabudi, Hapi, Sabaya, n.k waliondolewa kwenye nyadhifa zao ili wasiwe karibu na sinia la mema ya nchi.
Lkn sasa tunaona mwelekeo wa mama ni kulisogeza kundi la mwendazake taratibu kwenye sinia la mema ya nchi. Uteuzi wa Makonda, Biteko na Mnyeti unathibitisha haya.
Swali la kujiuliza ni je, mama analikimbia kundi lililompigania? Kwann?
Unaumia ukiwa wapi mwenzangu? 😀 😀 😀Mbinu inayotumika siyo nzuri. Kwasabb kama lengo ni kuyaua makundi basi kuzodoana na kukashifiana kulipaswa kuepukwa.
Anachokifanya Makonda ni kuibomoq ule upande wa Samia gang na kuutukuza upande wa sukuma gang.
Anawajua vizuri, Lazima awazodoe wapiga madili!Kama lengo ni kuleta umoja, mbona Makonda anawazodoa wale wa kundi lingine?
You don't need to use a pair of binoculars to see mipasuko iliyopo ndani ya CCM,wala hatuhitaji kuaminishwa kwamba magenge hayapo wakati yanaonekana.....yale yale niliyosema, mnalazimisha. SG unajua fika sina uchawa, na sijawahi kuwa chawa. That aside.
narudia, mnalazimisha uwepo wa genge la kabila la Wasukuma, mnalazimisha uwepo wake, kama wewe umejiweka kwenye hilo kundi la wenye Akili, basi utagundua hata huyu SSH ni kundi hilo hilo, nankama umonkwenye wasio na akili basi mtabakia na Makasiriko tatizo hamtaki kuamini mnachokiona.
CCM kama ilivyo hahitaji hizo siasa za Kikanda. Kama ilivyo, SSH ni mgombea, kama ilivyo keshapita na kwa matokeo ya 2020 hakuna wa kubadilisha matokeo 2025 na huo ndio Ukweli.
Haya mengine sijui genge hili na lile jiwe this and that, ni negative reinforcement tu. Its a psychological warfare kwa Wananchi kwa sababu tu ya Impact ya J.P.M kwenye siasa za Dunia. Period. Ameweza kupunguza mbio za treni la Ukoloni mamboleo.
Ongeza na zako au uendeleze ukasuku.
Sisi wakongwe ccm ilitutoka mwaka 1991 baada y kashfa ya loliondo, wizi wa dhahabu wa mama siti mwinyi, kashfa ya chavda nk.Binafsis
Binafsi CCM ilianza kunitoka moyoni baada ya kifo Cha magufuli na yale matamshi ya Nape kuwa CCM inawenyewe.
Kwa hiyo yeye ndiye aliyemparapanda rondo?Hili ni jina halina kiswahili wa kiingereza. Kwani Hilo jina lako FaizaFoxy kiswahili chake kikije?
Hakuna kitu deep state ipo nchi za watu, siyo hawa walevi wa mnazi wa hapa kwetu. Huyu mzee mm namuaminia mno.
Mama akiendelea na ujinga wake wa kumparura kwa kumtumia Makonda tutaimba parapanda
Nitasambaza ukweli siku zote kwa mamlaka niliyokuwa nayo! Tafadhali, koma,na Usinipangie, namna, jinsi, wakati au sehemu ya kufanya hivyo.Yashikilie mwenyewe mamlaka hayo, usiwasambazie wengine, ambao na wao wanayo ya kwao.
Lile halikuwa jendawazimu tu, bali ni shetani halisiMagufuli anapaswa kutukwanwa, Wala siyo kukejeliwa tu. Alikuwa mwendawazimu, mshamba na dikteta.
Chama cha Zitto hakikumkejeli jiwe? Aliyesema Magufuli ni mashamba na limbukeni siyo Zitto??
Kwa nini wa kwako uwe ukweli, na ya wengine yawe uongo!hatahivyo...sijamshika mtu "mwingine' yeyote mwenye kusambaza "Ukweli" na nitaendelea kukemea wote wenye kusambaza Uwongo wa aina yeyote ule.
Sukari imepandaKisiki anayetegemea vyombo vya Dola, au Mimi ndio sijui ukisiki ni nini? Dhalimu mwenyewe alikuwa anapewa kubwa yake live wakati wa kampeni hadi akawa anaenda gereji Kila mara, itakuwa huyo makalio ya mlogalinzila? Cdm hawategemea siasa za mbeleko, unapewa kubwa yako maana hawaendekezi siasa za hisani.