Je, Mama anaupiga mwingi? Jionee mwenyewe kwenye hii Video

Je, Mama anaupiga mwingi? Jionee mwenyewe kwenye hii Video

Freedom of expression without any changes =no freedom at all!
Yaani bi mkubwa anakusikiliza kisha anafanya kile alichokusudia yeye kufanya. Tofauti yake na JPM ni namna tu ya kupambana na wanaomkosoa. JP alitumia zaidi nguvu ya dola mama anatumia nguvu ya kisaikolojia!
 
Freedom of expression without any changes =no freedom at all!
Yaani bi mkubwa anakusikiliza kisha anafanya kile alichokusudia yeye kufanya. Tofauti yake na JPM ni namna tu ya kupambana na wanaomkosoa. JP alitumia zaidi nguvu ya dola mama anatumia nguvu ya kisaikolojia!
Mama anafanya lobbying hatari anawapiga milungula wale key persons wabaki huko huko ila wawe pointless
 
Nilichokiona na kukubali ni ung'eng'e wa mheshimiwa Mbowe uko vizuri sana. Amewazidi ma lecturer kibao pale mlimani na wasomi kibao wenye ma PHD na masters kwa kujieleza bila kubabaika, mengine tuwaachie wanasiasa.
Mbali na king'eng'e cha Mbowe mimi nimemuelewa sana point yake ya Changes zinafanyika too slow.
 
A president's performance is not only measured by what the media measures him for freedom of press. Media do business and can not be allowed to operate anyway they want.
Angalia hiyo video kwanza.
 
Mbona mimi naona kuna changes? hebu niambie zaidi kuhusu changes.
Nazungumzia Mabadiliko yanayotokana na uhuru wa watu kujieleza. Mfano tulipokataa tozo na mikopo kwa wakati mmoja ilibidi tusikilizwe lakini alifanya vile alivyoona inafaa. Na tukaambiwa tuhamie burundi.

Aidha suala la mikataba, watu wanatoa maoni lakini bado maamuzi ni ya serikali kuu. Suala la safari za nje zisizo za lazima, Matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma...maoni yanatolewa kwa uhuru ni kweli lakini hakuna utekelezaji!
 
Samia anafanya ulaghai kupitia maridhiano, lakini hana dhamira ya kweli, na Mbowe ameligundua hilo.
Samia anasingizia Wahafidhina ndio wanamvuta ushungi labda anawaogopa?
 
Ni wakati sasa Samia aspeed up maridhiano,katiba mpya,na ubinafsishaji wenye tija, na Reforms kwa ujumla.
 
Jamiiforums ina tambulika kimataifa kama chombo makini cha habari

Freeman Aikaeli Mbowe ndani ya kipindi tajwa katika kituo maarufu cha televisheni cha Ujerumani DW NEWS AFRICA kiongozi wetu anakazia hatuwezi kutegemea hisani ya uongozi uliopo madarakani suala hili la uhuru, haki na demokrasia linatakiwa litiwe ndani ya katiba.

Chama kongwe dola hakiwezi kushinda katika uchaguzi ulio huru na haki kwani hali imezidi kuwa mbaya mfano uchafuzi wa uchaguzi wa 2020 anasisitiza mwenyekiti Freeman Mbowe alipotupiwa swali na mwandishi wa DW News Africa imewezekana vipi CCM kuendelea kuwa madarakani kwa miaka 61...
 
Screenshot_20230611-173817_1.jpg

Umeiangalia hiyo video?
 
Lengo la hii video ilikuwa ni tuwe na mjadala lakini watu wanataka kutukana tu why?
 
Back
Top Bottom