Jamiiforums ina tambulika kimataifa kama chombo makini cha habari
Freeman Aikaeli Mbowe ndani ya kipindi tajwa katika kituo maarufu cha televisheni cha Ujerumani DW NEWS AFRICA kiongozi wetu anakazia hatuwezi kutegemea hisani ya uongozi uliopo madarakani suala hili la uhuru, haki na demokrasia linatakiwa litiwe ndani ya katiba.
Chama kongwe dola hakiwezi kushinda katika uchaguzi ulio huru na haki kwani hali imezidi kuwa mbaya mfano uchafuzi wa uchaguzi wa 2020 anasisitiza mwenyekiti Freeman Mbowe alipotupiwa swali na mwandishi wa DW News Africa imewezekana vipi CCM kuendelea kuwa madarakani kwa miaka 61...