Je, Mama anaupiga mwingi? Jionee mwenyewe kwenye hii Video

Lengo la hii video ilikuwa ni tuwe na mjadala lakini watu wanataka kutukana tu why?
Kuna watu hawawezi kuongea yaliyopo vichwani mwao...lazima kwanza wasubiri Tundu Lissu kasemaje na wao ndo wapite humo humo....huwezi jadiliana nao chochote bila matusi..
 
Nilichokiona na kukubali ni ung'eng'e wa mheshimiwa Mbowe uko vizuri sana. Amewazidi ma lecturer kibao pale mlimani na wasomi kibao wenye ma PHD na masters kwa kujieleza bila kubabaika, mengine tuwaacha
Yaani kujua kuongea lugha ya kiingereza kwa haraka bila kufuata Mashariti ya lugha hiyo ndiyo kuwa vizuri kichwani? Pole sana!!!Ngoja niishie hapa kwa Sasa!
 
Ni wakati sasa Samia aspeed up maridhiano,katiba mpya,na ubinafsishaji wenye tija, na Reforms kwa ujumla.
Kwa alichofanya hapo bandarini amesha-fail pakubwa siioni afadhali yake ni kusema huyu hata kuachiwa kijiosk cha mangi hafai kesho tu unakuta shelves nyeupe.
 
Yaani kujua kuongea lugha ya kiingereza kwa haraka bila kufuata Mashariti ya lugha hiyo ndiyo kuwa vizuri kichwani? Pole sana!!!Ngoja niishie hapa kwa Sasa!
Hakuna sehemu nimetaja neno kichwani, nimeongelea kuongea kiingereza(kuflow) basi, hayo ya kichwani sijui umeyatoa wapi?, wakati mwingine anayehisi anajua ndo hajui.
 
Mbowe amefafanua vizuri sana.
 
Sahihi
 
Pound for pound ukiwaweka Samia na Magufuli Samia ni mkomavu sana wa Kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…