Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

Yes, lakini pia , Unatoka na bolt nyumbani, unafika ofinini unapana lify ya ofisi, unaagiza chips yai, usiku unacheza tv game!
Gentleman,
unaelewa malalamiko mengi ya wamama kwenye majumba yao dhidi ya performance mbovu sana za waume zao ni kwasababu,

Unakuta mbaba anaacha pesa ya chai, chakula cha mchana na usiku nyumbani. Na vyote hivyo anakula mumama na watoto wake nyumbani.

huyo mubaba akiwa huko kwenye mihangaiko,
yeye anakula mihogo ya buku asubuhi, mchana anapitisha deshi, na usiku nyumbani akifika amechoka na chakula cha hapo nyumbani anagusagusa tu na kupitiliza kitandani kulala.

Ikifika wakati muafaka wa game,
mumama aliekula vizuri asubuhi, mchana na jioni, vichocheo vya kingono viko high, yuko tayari kunyanduana, huku mubaba alieshindia mihogo na kazi ngumu, vichocheo vya mwili kingono viko low.

Kwa hali hiyo,
baada ya muda,
ndoa haijavunjika hapo?

halafu huyo mubaba hata akiona mbususu iko wazi hawez shituka coz hamna kazi kwasababu ya lishe duni kazi ngumu 🐒
 
FAct, Hata ukiangalia waendesha maguta anatoka Mabibo sokoni mpaka masaki mvigo wa punda, jasho kisado, anakula mkate mkavu na eneji drink, kweli kitandani hawezi fanya kitu.
 
FAct, Hata ukiangalia waendesha maguta anatoka Mabibo sokoni mpaka masaki mvigo wa punda, jasho kisado, anakula mkate mkavu na eneji drink, kweli kitandani hawezi fanya kitu.
Yes,
hiyo ndio changamoto kwenye majumba mengi saivi gentleman 🐒
 
Si kweli, unataka tuficha ugonjwa, unajua matatizo yanaletwa na sisi wenyewe?

Unataka kuwa kama wanaosingizia wazungu ni mashoga wakati DAr na Zanzibar wamejaa na wanafanya party zao hadharani?
Mzee kama huna nguvu ni huna, nyeto huwa mnaisingizia tu.
 
Ndugu Jaji Mfawidhi ukiona upo kwenye huo mtego jua gonjwa la akili limekuvamia ama linakunyemelea wahi tiba ya afya ya akili kabla mambo hayaja haribika kabisa.
 
Kwa sisi vijana wa ovyo tunasema waendelwe kuzianika tena ziwe kukuu zile, nyeupe na pink itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…