Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kati ya Biblia na Quran ipi iliyoanza?Basi hata biblia ime copy na paste maneno ya Musa na Daudi,
Mitume iliyopewa vitabu vitakatifu.
1 -TORATI-- MUSA.
2-ZABURI -- DAUDI.
3-INJILI-- YESU.
4-FURQAN--MOHAMMAD(SAW).
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Akili zako bana. Okay sawasasa torati, zaburi na vingine si ndo biblia sasa.
Biblia = Kitabu cha vitabu
Muhammad (s.a.w) alikuja kama mtume wa ulimwengu mzima mantiki hiyo injili, zaburi, torat na suhufi zisingeweza kufanya kazi mbele ya qur-an.Unaweza kutaja tarehe ya mwisho wa injili ya Issa kwa wayahudi. Maana wayahudi bado wapo. Kwa nini waarabu wanaambiwa waviamini vitabu ikiwemo hiyo ijili ya Issa ambayo haiwahusu. Allah aliruhusu vipi wayahudi waharibu injili aliyoituma kwao. Kwa nini asingetumiq mbinu alizotumia huitunza quran ili wayahudi wapya wanaozaliwa wanufaike na injili yao.
Masimulizi ya kiislam yanayofundisha hivi, hili yanalizungumziaje.
Karibu.
Nan anayesema issa ndo yesu?Duh!
Yesu kristo alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na Issa alizaliwa chini ya mtende.
Huyu huyu issa ndiyo wanasema ndiyo yule wa kwenye The holy Bible.
Kwahiyo Allah alinukuu injili, Torati na Zaburi kutoka kwenye The holy Bible?
Huwezi kuelewa sabab unaleta ujuaji wa ajabu.Asante kwa mchango.
Ulichocomment ndio moja ya madhara ya kusoma vitabu vitakatifu kama viapo.
Wenzako walioelewa wamenyamaza au wamepotezea maana wanajua ninavhokitaka hakipo.
Kuhusu hili la Issa na Yesu. Sioni shaka nalo.
Mwa imani yangu binafsi sijui wengine.
1: Issa ni jina la Yesu kwa kiarabu sio kiislam. Kama ilivyo John na Yohana kwa kwa kiswahi au kilatini.
2: Maelezo ya Issa wa Kwenye Quran yanaendana japo kwa utofauti na maelezo ya Yesu wa kwenye Biblia na mama yake.
Hivyo naamini Yesu wa kwenye Quran ni toleo jipya la Yesu yuleyule wa kwenye Biblia ila amehafifishwa au kawekwa ili quran isijekuonekana ni kitabu cha Mungu mpya ambaye hana uhusiano na Mungu yule wa wakina Yesu, Yakobo, Musa, Ibrahim na Yohana.
Kwa hiyo Muislam anayemjifunza Issa ni kama anajifunza mwangwi tu au kivuli cha Yesu wa kwenye Biblia. Anatakiwa aje afundishwe vizuri huku kwetu.
Huu ndio ufahamu wangu ambao sikutaka kuuweka wazi mwanzo ili nipate mawazo mapya. Kutokea hapo mkuu unaweza kusema au kuongezea ulichokusudia kusema.
Unaposema Biblia unamaanisha agano la kale ama agano jipya???
Asante mkuu, nilichotaka hasa nikujua uthabiti wa Imani yako juu ya huyu kiongozi wetu,kwakua huna shaka kuwa Yesu wa biblia ndie huyohuyo ISSA wa qur-an basi nami naungana nawe katika kutafuta majibu ya mawsali yako kwakua naamini hujui na una nia yakweli yakujifunza na bila shaka utakuwa muelewa kwa namna utakavyojibiwa na wale wenye ufahamu zaidi juu ya hoja zako.Kuhusu hili la Issa na Yesu. Sioni shaka nalo.
Mwa imani yangu binafsi sijui wengine.
1: Issa ni jina la Yesu kwa kiarabu sio kiislam. Kama ilivyo John na Yohana kwa kwa kiswahi au kilatini.
2: Maelezo ya Issa wa Kwenye Quran yanaendana japo kwa utofauti na maelezo ya Yesu wa kwenye Biblia na mama yake.
Hivyo naamini Yesu wa kwenye Quran ni toleo jipya la Yesu yuleyule wa kwenye Biblia ila amehafifishwa au kawekwa ili quran isijekuonekana ni kitabu cha Mungu mpya ambaye hana uhusiano na Mungu yule wa wakina Yesu, Yakobo, Musa, Ibrahim na Yohana.
Kwa hiyo Muislam anayemjifunza Issa ni kama anajifunza mwangwi tu au kivuli cha Yesu wa kwenye Biblia. Anatakiwa aje afundishwe vizuri huku kwetu.
Huu ndio ufahamu wangu ambao sikutaka kuuweka wazi mwanzo ili nipate mawazo mapya. Kutokea hapo mkuu unaweza kusema au kuongezea ulichokusudia kusema
Wayahudi Wana Torah yao ambayo ni tofauti na hiyo ya kwenye bibliaUmetumia tafsiri ya Kiswahili kujenga hoja dhaifu sana.Hivi kwa Kihebrania hicho kitabu kinaitwaje?
Umeamua kujichekesha!!?Haya maneno Yesu aliyesema wapi? Yameandikwa kwenye kitabu kipi cha Alah?
Hahaha...Wavaa kobazi huwa mnanichekeshaga sana.
Kama hakuna kitu kisichoweza kuwepo bila mhandisi pia ata Mungu awezi kuwepo bila mhandisi.Nani aliyemuwekea dhakari na manii baba yako,ambayo yalitoka kwa kuruka yakaingia kwa mama yako na kwenda kutungisha mimba Kisha ukazaliwa,huo mfumo kaweka nani!?..maana hauwezi kuwepo bila mhandisi
Hiyo ni hoja ya pili,Ila mhandisi lazima awepo kwenye system yoyote,sawa!?Kama hakuna kitu kisichoweza kuwepo bila mhandisi pia ata Mungu awezi kuwepo bila mhandisi.
Ni hoja ya pili ila inaua ya kwanza , sio lazima mhandisi awepo ili system iwepo , kama ambavyo unaamni Mungu yupo ila hana mhandisi .Hiyo ni hoja ya pili,Ila mhandisi lazima awepo kwenye system yoyote,sawa!?
Mbona unajichanganya na kukimbilia mbele,kwa uelewa wako unakubali kabisa system haiwezi kuwepo bila mhandisi,so mfumo wa uzazi ni system ambayo tunakubaliana haikosi mhandisi,huyo mhandisi ni nani!?..haijalishi uwepo wake umetokana na niniNi hoja ya pili ila inaua ya kwanza , sio lazima mhandisi awepo ili system iwepo , kama ambavyo unaamni Mungu yupo ila hana mhandisi .
Sijui na wewe haujui wala hauna udhibitisho wakuja kusema ni Mungu .Mbona unajichanganya na kukimbilia mbele,kwa uelewa wako unakubali kabisa system haiwezi kuwepo bila mhandisi,so mfumo wa uzazi ni system ambayo tunakubaliana haikosi mhandisi,huyo mhandisi ni nani!?..haijalishi uwepo wake umetokana na nini
Unataka uthibitisho Tena!!ππ Toka mwanzo tunaongelea mfumo na mhandisi wake,Sasa hvi unauliza uthibitisho,nenda kale bana!!Sijui na wewe haujui wala hauna udhibitisho wakuja kusema ni Mungu .
Kama unaMbona unajichanganya na kukimbilia mbele,kwa uelewa wako unakubali kabisa system haiwezi kuwepo bila mhandisi,so mfumo wa uzazi ni system ambayo tunakubaliana haikosi mhandisi,huyo mhandisi ni nani!?..haijalishi uwepo wake umetokana na nini
Acha kujichekesha bila sababu ya msingi Mungu angekuwepo ata hii mijadala ya kuhusu uwepo wake isingekuwepo , ni sawa saivi tuanze kupinga uwepo wa jf , tungeonekana vichaa.Unataka uthibitisho Tena!!ππ Toka mwanzo tunaongelea mfumo na mhandisi wake,Sasa hvi unauliza uthibitisho,nenda kale bana!!
Ukifikiri vizuri bila kutumia hisia utagundua uwepo wake upo kifikra tu kutokana na maswali magumu tunayoshindwa kupata majibu maswali yakipata majibu fikra hizi hufifia.Kama una
Acha kujichekesha bila sababu ya msingi Mungu angekuwepo ata hii mijadala ya kuhusu uwepo wake isingekuwepo , ni sawa saivi tuanze kupinga uwepo wa jf , tungeonekana vichaa.
Unamfanya Muhammad kuiba jina Israel alikuwa hajui maana yake , Yani Kali copy tu kapachika kwenye KoranBible Mungu alishuka usiku mnene,akabondwa na yakobo mpaka ambariki,akambariki yakobo ndo akamwachia arudi mbinguni asionwe na watu,huwezi Kuta hizo kufru kwenye QUR'AN,kusema Qur'an ni desa la bible ni kutovijua vitabu vyote
Unaonekana kichaa kusema ulimwengu na walimwengu hakuna aliyeviumbaKama una
Acha kujichekesha bila sababu ya msingi Mungu angekuwepo ata hii mijadala ya kuhusu uwepo wake isingekuwepo , ni sawa saivi tuanze kupinga uwepo wa jf , tungeonekana vichaa.