Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Wapo wanazuoni wanadai Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
dini zote Dunia ni branch ya ukatoliki ikiwemo uislam.Ndo maana ya church and churches.
 
1: Sijasema, simeuliza mkuu ili kukupa uwanja wa kufafanusha.
2: Imemtaja Yesu ba mama Yake au Isa ambaye hayumo kenye taurat ila yumo kwenye vitabu vinne vya INJILI na nyaraka za mitume wake.
Hii inajumuisha makusanyo yote.

Karibu sheikh
Hakuna sehemu quran imemtaja Yesu ila imemtaja Issa ambaye hajulikani ji nani?
 
Yesu hakuandika kitabu
Hii ndio ninajua. Ila waislam wanaaminishwa Yesu aliandika kitabu ambacho wao wenyewe hawana wala hakipo. Hii ni njama yq kuvizunguka vitabu vinne vya injili ili wapate sababu ya kuvishusha hadi waseme vimekosewa.
 
Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
Thibitisha.
 
Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
Huu ndio ukweli japo utashambuliwa lakini mashambulizi hayakwepi ukweli.
 
kwa ufupi wayahud walipewa mitume mingi sana.ila waliwakataa na wengine wakawaua.mungu akaamua kuhamisha utume kwa waarabu.ila wote walikuwa wana mtaja mungu mmoja.the rest is history
 
Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.

Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.

Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?

Je hizi ni moja ya sababu?

1: Kwa sababu ukristo ulikuwepo uarabuni zaidi ya miaka 600 kabla ya kuzaliwa Mtume wa waislam, basi zilichanganywa ili kuvuta wafuasi.

2: Kwa sababu Mtume wa waislam alipotokewa na kitu asichokifahamu, mkewe mkubwa alimpeleka kwa mkristo ili amsaidia ndugu Waraqa. Na kazi ya huyu waraqa ilikuwa ni kutafsiri maandiko ya biblia kwa kiarabu, basi kuishi hapo ambapo alitabiriwa utume alipata ideas mbili tatu kuhusu mambo yaliyokuwemo kwenye maandiko ya wakristo na wayahudi.

3: Kile kilichomtokea pangoni ndio kilimpa hayo maagizo na kumpa tips zinazoendana na maandiko kabla yake ila zikiwa zimechanganywa ili kuleta utofauti.

4: Au yale yalikuwa ni maelekezo ya Allah ambayo hayatakiwi kuhojiwa wala kuzungumziwa wala kulinganishwa na chochote.


Wajuvi mtujuze sisi wenye akili viherehere tusiona mipaka kujifunza mambo.

Comments ziheshimu imani za watu.
ISSA WA KWENYE QURUANI TUKUFU HANA UKOO WANAZUONI WA KIISLAM TUSAIDIANE UKOO WA ISAA NI UPI NDANI YA QURUANI TUKUFU
 
Tafuta Uzi huu upo humu umeelezea kwa kirefu.
Quran isingekopi ya maandiko ya Biblia
Nilifikili unachanzo official cha kikatoriki au chanzo kifichi kinqchotetea hoja yako moja kwa moja maana wewe ndio ulisoma huo uzi ukauelewa.

Kama ni zile story za Cardinal Bae, ni hoax. Hazina ushahidi.
Sio kwamba natetea uislam ila natetea facts. Hizo story za ukatoriki kuanzisha uislam sio za kweli. Maana kila palipokuwa na ukatoriki waislam waliuondoa. Mfano afrikq kaskazini pqlikuwa ndio center ya scholars wa kikatoriki dunia nzima. Lakini palifutwa pote hadi sasa waarabu wote waafrika kaskazini ni waislam wakati palikuwa ni mahala pa wakristo. Hizo story za hadija alikuwa mkristo kutoka kaskazini akaenda kuolewa na kijana wa kiislam mfanyabiashara na kumtengeneza awe kichwa zinajicontradict. Au zile ztory za kasisi aliyekutana na kijana Mohammad Syria na kumwambia atakuja kuwa mkubwa pia zinawarakini.
 
Muhamad S.A.W nae hajaandika kitabu chochote mkuu kwanza alikuwa hajui kusoma wala kuandika
Ni kweli. Quran ya maandishi imeandikwa miaka mingi sana baada ya yeye Kufariki. Hata Idea ya kuandika hakuwahi kupewa na Allah. Allah alitaka wakariri tu vichwani.

Iliqndikwa wakati wa utawala wa Caliph Uthman. Baada ya ugomvi kila mtu anajiseme kitu anasema mtume alisema.
 
kwa ufupi wayahud walipewa mitume mingi sana.ila waliwakataa na wengine wakawaua.mungu akaamua kuhamisha utume kwa waarabu.ila wote walikuwa wana mtaja mungu mmoja.the rest is history
Kwa hiyo Mungu aliyeumba wanadamu aliwapiga chini wote dunia nzima akabaki anadeal na wayahudi na waarabu tu. Hahahahaha
 
Back
Top Bottom