Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jina Yesu Lina nguvu ilibidi watumie jina Issa.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jina Yesu Lina nguvu ilibidi watumie jina Issa.
Kwahiyo amekufa akiwa mbumbumbu?Muhamad S.A.W nae hajaandika kitabu chochote mkuu kwanza alikuwa hajui kusoma wala kuandika
jina lake ni lipiyesu sio jina lake
Ukisoma historia vizuri utagundua kuwa wayahudi walistaarabika mapema kuliko waarabu.Qur-an imenukuu historia zilizopo kwenye vitabu vya zaburi, taurati, injili na sufi
Thibitisha.
Yesuyesu sio jina lake
"Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu | JamiiForums" Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya KiislamuNilifikili unachanzo official cha kikatoriki au chanzo kifichi kinqchotetea hoja yako moja kwa moja maana wewe ndio ulisoma huo uzi ukauelewa.
Kama ni zile story za Cardinal Bae, ni hoax. Hazina ushahidi.
Sio kwamba natetea uislam ila natetea facts. Hizo story za ukatoriki kuanzisha uislam sio za kweli. Maana kila palipokuwa na ukatoriki waislam waliuondoa. Mfano afrikq kaskazini pqlikuwa ndio center ya scholars wa kikatoriki dunia nzima. Lakini palifutwa pote hadi sasa waarabu wote waafrika kaskazini ni waislam wakati palikuwa ni mahala pa wakristo. Hizo story za hadija alikuwa mkristo kutoka kaskazini akaenda kuolewa na kijana wa kiislam mfanyabiashara na kumtengeneza awe kichwa zinajicontradict. Au zile ztory za kasisi aliyekutana na kijana Mohammad Syria na kumwambia atakuja kuwa mkubwa pia zinawarakini.
Mkuu Ubarikiwe sana.Ukisoma historia vizuri utagundua kuwa wayahudi walistaarabika mapema kuliko waarabu.
Mtume alifanya biashara zaidi na wayahudi, akagundua vitu vingi vyao viko katika mpangilio maalumu.Vitu hivyo ni kama vile:
a) Uchumi: Hapa wayahudi tayari walikuwa na mfumo wao wa ufanyaji biashara
b) Siasa: Hapa wayahudi walikuwa na mfumo wao wa uongozi.
c) Kijamii : Hapa wayahudi tayari walikuwa tayari wameamua jamii yao iweje.
d) Kiutamaduni : Wayahudi tayari walikuwa na utamaduni wao. Katika hili ndiyo unakuta dini,ndoa,mila,miiko,maadili, vyakula n.k.
Mtume aliamua kujifunza hivyo vitu na kuchukua baadhi , pia wayahudi kutokana na kustaarabika mapema waliwadharau waarabu sana na jamii nyingine!
Mtume aliamua kuwastaarabisha waarabu kwa kuweka vitu katika mpangilio maalumu katika nyanja zote za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamduni.
Hili halikufanyika kwa mara moja, lilichukua muda mrefu kidogo kulitekeleza.Ili alitekeleze vizuri aliamua kutumia dini kama nyenzo yake. Kumbuka nyakati hizo dini ilikuwa na nguvu sana katika jamii.
Wayahudi na wazungu (Rumi) walimsumbua sana Mtume katika harakati zake. Aliwachukulia kama maadui zake wakuu na jamii yake.Akaliweka hili kiimani zaidi katika jamii yake.
Mtume alitumia mfumo wa kidikteta (ukweli mchungu) katika kuongoza jamii yake. Yeye alikuwa na kofia mbili ambazo ni :
a) Kiongozi wa kidini: Yeye pekee ndiye alikuwa ana uwezo wa kuongea na malaika mkuu. Hivyo maono na ufunuo lazima upitie kwake.Sifa zote nzuri alijivika yeye kama vile anapendwa sana na Mungu, Mungu alimchagua yeye kama mtume wa mwisho, alipaa mbinguni n.k
b) Kiongozi wa serikali: Hapa mtume alikuwa ana nguvu zote za kiutawala na mamlaka katika nyanja zote na uamuzi wake ulikuwa haupingwi. Utapingwaje wakati alikuwa anapata ufunuo kutoka kwa Mungu?
Mtume hata wakati wa ugonjwa wake bado alishindwa kumuandaa mrithi wake hali iliyopelekea mpasuko mkubwa wa chini chini wa kisiasa. Alivyofariki mazishi yake yalicheleweshwa sana na sababu kuu ni ugomvi wa kugombea madaraka.
Wapo walikuwa wanaona fulani anafaa, wengine walikuwa wanaona fulani anafaa na kwa sababu fulani. Kumbuka hapo mtume hajazikwa!
Baada ya kupatikana kiongozi hatimaya mtume akazikwa. Kilichotokea baadae ni mauaji ya hawa viongozi. Ukichunguza vifo vyote vya makhalifa ni mauaji ya kugombea madaraka! Ukisikia madhehebu chanzo chake kikuu ni ugomvi wa madaraka.
Mauaji yalianza na wanyonge wakakimbilia ulaya na Afrika, Asia n.k kujinusuru. Hii ni moja ya sababu kuu iliyowafanya waarabu kufika ulaya na Afrika! Unajua kizazi cha waarabu wa Misri walikuwa nani kwa mtume?
Nb 1: Tuwe waumini huku tukitumia akili zetu.
Nb 2: Usipende mtu aichezee akili yako.
Nb 3: Mungu hana dini.
Nb: 4 Mungu hana chuki wala ubaguzi.
Nb 5: Masikini hufuata dini ya tajiri.
Nb 6: Dini zote zimeundwa na watu kwa malengo maalumu.
1. Kwanini biblia itaje na kuandika stori zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiyaudi ambavyo vilikuwepo miaka zaidi ya 2000 ?Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?
Je hizi ni moja ya sababu?
1: Kwa sababu ukristo ulikuwepo uarabuni zaidi ya miaka 600 kabla ya kuzaliwa Mtume wa waislam, basi zilichanganywa ili kuvuta wafuasi.
2: Kwa sababu Mtume wa waislam alipotokewa na kitu asichokifahamu, mkewe mkubwa alimpeleka kwa mkristo ili amsaidia ndugu Waraqa. Na kazi ya huyu waraqa ilikuwa ni kutafsiri maandiko ya biblia kwa kiarabu, basi kuishi hapo ambapo alitabiriwa utume alipata ideas mbili tatu kuhusu mambo yaliyokuwemo kwenye maandiko ya wakristo na wayahudi.
3: Kile kilichomtokea pangoni ndio kilimpa hayo maagizo na kumpa tips zinazoendana na maandiko kabla yake ila zikiwa zimechanganywa ili kuleta utofauti.
4: Au yale yalikuwa ni maelekezo ya Allah ambayo hayatakiwi kuhojiwa wala kuzungumziwa wala kulinganishwa na chochote.
Wajuvi mtujuze sisi wenye akili viherehere tusiona mipaka kujifunza mambo.
Comments ziheshimu imani za watu.
Mwamba umefafanua vizuri sana hongera sana sanaUkisoma historia vizuri utagundua kuwa wayahudi walistaarabika mapema kuliko waarabu.
Mtume alifanya biashara zaidi na wayahudi, akagundua vitu vingi vyao viko katika mpangilio maalumu.Vitu hivyo ni kama vile:
a) Uchumi: Hapa wayahudi tayari walikuwa na mfumo wao wa ufanyaji biashara
b) Siasa: Hapa wayahudi walikuwa na mfumo wao wa uongozi.
c) Kijamii : Hapa wayahudi tayari walikuwa tayari wameamua jamii yao iweje.
d) Kiutamaduni : Wayahudi tayari walikuwa na utamaduni wao. Katika hili ndiyo unakuta dini,ndoa,mila,miiko,maadili, vyakula n.k.
Mtume aliamua kujifunza hivyo vitu na kuchukua baadhi , pia wayahudi kutokana na kustaarabika mapema waliwadharau waarabu sana na jamii nyingine!
Mtume aliamua kuwastaarabisha waarabu kwa kuweka vitu katika mpangilio maalumu katika nyanja zote za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamduni.
Hili halikufanyika kwa mara moja, lilichukua muda mrefu kidogo kulitekeleza.Ili alitekeleze vizuri aliamua kutumia dini kama nyenzo yake. Kumbuka nyakati hizo dini ilikuwa na nguvu sana katika jamii.
Wayahudi na wazungu (Rumi) walimsumbua sana Mtume katika harakati zake. Aliwachukulia kama maadui zake wakuu na jamii yake.Akaliweka hili kiimani zaidi katika jamii yake.
Mtume alitumia mfumo wa kidikteta (ukweli mchungu) katika kuongoza jamii yake. Yeye alikuwa na kofia mbili ambazo ni :
a) Kiongozi wa kidini: Yeye pekee ndiye alikuwa ana uwezo wa kuongea na malaika mkuu. Hivyo maono na ufunuo lazima upitie kwake.Sifa zote nzuri alijivika yeye kama vile anapendwa sana na Mungu, Mungu alimchagua yeye kama mtume wa mwisho, alipaa mbinguni n.k
b) Kiongozi wa serikali: Hapa mtume alikuwa ana nguvu zote za kiutawala na mamlaka katika nyanja zote na uamuzi wake ulikuwa haupingwi. Utapingwaje wakati alikuwa anapata ufunuo kutoka kwa Mungu?
Mtume hata wakati wa ugonjwa wake bado alishindwa kumuandaa mrithi wake hali iliyopelekea mpasuko mkubwa wa chini chini wa kisiasa. Alivyofariki mazishi yake yalicheleweshwa sana na sababu kuu ni ugomvi wa kugombea madaraka.
Wapo walikuwa wanaona fulani anafaa, wengine walikuwa wanaona fulani anafaa na kwa sababu fulani. Kumbuka hapo mtume hajazikwa!
Baada ya kupatikana kiongozi hatimaya mtume akazikwa. Kilichotokea baadae ni mauaji ya hawa viongozi. Ukichunguza vifo vyote vya makhalifa ni mauaji ya kugombea madaraka! Ukisikia madhehebu chanzo chake kikuu ni ugomvi wa madaraka.
Mauaji yalianza na wanyonge wakakimbilia ulaya na Afrika, Asia n.k kujinusuru. Hii ni moja ya sababu kuu iliyowafanya waarabu kufika ulaya na Afrika! Unajua kizazi cha waarabu wa Misri walikuwa nani kwa mtume?
Nb 1: Tuwe waumini huku tukitumia akili zetu.
Nb 2: Usipende mtu aichezee akili yako.
Nb 3: Mungu hana dini.
Nb: 4 Mungu hana chuki wala ubaguzi.
Nb 5: Masikini hufuata dini ya tajiri.
Nb 6: Dini zote zimeundwa na watu kwa malengo maalumu.
Umeandika pumba tupu hakuna hata jambo la maana kwenye matakataka haya1. Kwanini biblia itaje na kuandika stori zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiyaudi ambavyo vilikuwepo miaka zaidi ya 2000 ?
2. Unaweza kunitajia Hud , qaarun, idrisa, samiry, dhurqalnain, luqman, haman, swaleh ,abraha, dhu nuwas, uzair, zayd bin haritha na wengineo wengi waliotajwa kwenye quran wanapatika ukurasa upi wa kwenye biblia?
3. Labda nikwambie ukweli mchungu ambao ninyi wakristo hamuutaki na ndo reality hamuwezi kuibadili hauwezi kufanya mchana kuwa usiku kwa kufumba macho , ni hivi isa bin maryam(peace be upon him) mnayemwita yesu alikuwa ni mtu na mtume wa Allah( the almighty) na alipewa kitabu cha injil ambacho kina ujumbe wa tawhid na sheria mpya za Allah(the almighty) kwa wana wa israel ila waliomwamini ni wachache na majority ya waisrael wakataka kumwua hivyo Allah(the almighty) akamuepusha na njama zao na akamuhifadhi mpaka muda maalum atarudi ikiwa ni ishara ya siku za mwishi atamalizia umri wake duniani ataoa atakufa atazikwa karibu na mtume muhammad ( peace be upon him) .
Sasa alivyoondoshwa na kuhifadhiwa na Allah( the almighty) aliacha kitabu cha mwenyezi mungu (injil) ambapo walibakia nacho wale walioamini ikiwa ni pamoja na swahaba zake (hawariyun)miaka ilivyokwenda waisrael wakawa wana ki edit kwa kuondoa baadhi ya makatazo na amri na kuweka za kwao mwisho wa siku wakaja watu kama wakina paulo wakaanzisha ukristo warumi waka adopt dini hii mpya wakaendelea pale waliopoishia wayahudi kwa kuongeza maneno yao kwenye hichi kitabu kipya cha biblia wakatengeneza dini mpya ya mseto yenye mafundisho ya kipagani na baadhi ya kiyahudi wakapata Roman catholic.
Masahihisho
Isa bin maryam(peace be upon him) alikuwepo miaka 560 kabla ya kuzaliwa kipenzi cha Allah ( the almighty ) bwana mtume muhammad (peace be upon him).
Karibu mtaalamMbona unaanza kujitete kijana, kwani hapa kinaongelewa nini? Siyo dini?
issa bin mariamjina lake ni lipi
Haya maelezo ni kama dharau kwa Allah.1. Kwanini biblia itaje na kuandika stori zilizokuwepo kwenye vitabu vya kiyaudi ambavyo vilikuwepo miaka zaidi ya 2000 ?
2. Unaweza kunitajia Hud , qaarun, idrisa, samiry, dhurqalnain, luqman, haman, swaleh ,abraha, dhu nuwas, uzair, zayd bin haritha na wengineo wengi waliotajwa kwenye quran wanapatika ukurasa upi wa kwenye biblia?
3. Labda nikwambie ukweli mchungu ambao ninyi wakristo hamuutaki na ndo reality hamuwezi kuibadili hauwezi kufanya mchana kuwa usiku kwa kufumba macho , ni hivi isa bin maryam(peace be upon him) mnayemwita yesu alikuwa ni mtu na mtume wa Allah( the almighty) na alipewa kitabu cha injil ambacho kina ujumbe wa tawhid na sheria mpya za Allah(the almighty) kwa wana wa israel ila waliomwamini ni wachache na majority ya waisrael wakataka kumwua hivyo Allah(the almighty) akamuepusha na njama zao na akamuhifadhi mpaka muda maalum atarudi ikiwa ni ishara ya siku za mwishi atamalizia umri wake duniani ataoa atakufa atazikwa karibu na mtume muhammad ( peace be upon him) .
Sasa alivyoondoshwa na kuhifadhiwa na Allah( the almighty) aliacha kitabu cha mwenyezi mungu (injil) ambapo walibakia nacho wale walioamini ikiwa ni pamoja na swahaba zake (hawariyun)miaka ilivyokwenda waisrael wakawa wana ki edit kwa kuondoa baadhi ya makatazo na amri na kuweka za kwao mwisho wa siku wakaja watu kama wakina paulo wakaanzisha ukristo warumi waka adopt dini hii mpya wakaendelea pale waliopoishia wayahudi kwa kuongeza maneno yao kwenye hichi kitabu kipya cha biblia wakatengeneza dini mpya ya mseto yenye mafundisho ya kipagani na baadhi ya kiyahudi wakapata Roman catholic.
Masahihisho
Isa bin maryam(peace be upon him) alikuwepo miaka 560 kabla ya kuzaliwa kipenzi cha Allah ( the almighty ) bwana mtume muhammad (peace be upon him).
ebu nitajie ukoo wa issa bin mariam tuanziw hapaissa bin mariam
umeelewa nilichoandika?waliopewa mitume wengi ni wayahud.mungu alipoona wanawakataa.ndipo akahamisha utume kwenda kwa waarabu.hata wao wayahud walishangaa haya maamuz.ila mafundisho ya muhammad ndo mafundisho ya mitume wote na manabii waliopitaKwa hiyo Mungu aliyeumba wanadamu aliwapiga chini wote dunia nzima akabaki anadeal na wayahudi na waarabu tu. Hahahahaha
hana ukoo wa baba.ana ukoo wa mama.babu yake aliitwa imranebu nitajie ukoo wa issa bin mariam tuanziw hapa
Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.