bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hakuna sehemu quran imemtaja Yesu ila imemtaja Issa ambaye hajulikani ji nani?1: Sijasema, simeuliza mkuu ili kukupa uwanja wa kufafanusha.
2: Imemtaja Yesu ba mama Yake au Isa ambaye hayumo kenye taurat ila yumo kwenye vitabu vinne vya INJILI na nyaraka za mitume wake.
Hii inajumuisha makusanyo yote.
Karibu sheikh
Hii ndio ninajua. Ila waislam wanaaminishwa Yesu aliandika kitabu ambacho wao wenyewe hawana wala hakipo. Hii ni njama yq kuvizunguka vitabu vinne vya injili ili wapate sababu ya kuvishusha hadi waseme vimekosewa.Yesu hakuandika kitabu
Thibitisha.Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
Huu ndio ukweli japo utashambuliwa lakini mashambulizi hayakwepi ukweli.Wakatoliki ndio waliounzisha uislam kupitia watawa wa kiJesuit,lengo kuu ni kuwaweka waarabu under one control sababu ilikua ni vigumu kuwacontrol sababu walikuwa wakiabudu masanamu.
Ndio unaona huo mfanano wa Quran kukopi maandiko ya Biblia.
Pia waislam hakuna andiko linalomuhusu Yesu.Hii ndio ninajua. Ila waislam wanaaminishwa Yesu aliandika kitabu ambacho wao wenyewe hawana wala hakipo. Hii ni njama yq kuvizunguka vitabu vinne vya injili ili wapate sababu ya kuvishusha hadi waseme vimekosewa.
Kwa mujibu wa waislam wenyewe wanasema Issa ndio Yesu. Hivyo swali liliulizwa kwa mujibu wa waislam.Hakuna sehemu quran imemtaja Yesu ila imemtaja Issa ambaye hajulikani ji nani?
Tafuta Uzi huu upo humu umeelezea kwa kirefu.Thibitisha.
yesu sio jina lakeJina Yesu Lina nguvu ilibidi watumie jina Issa.
Muhamad S.A.W nae hajaandika kitabu chochote mkuu kwanza alikuwa hajui kusoma wala kuandikaYesu hakuandika kitabu
ISSA WA KWENYE QURUANI TUKUFU HANA UKOO WANAZUONI WA KIISLAM TUSAIDIANE UKOO WA ISAA NI UPI NDANI YA QURUANI TUKUFUQuran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.
Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?
Je hizi ni moja ya sababu?
1: Kwa sababu ukristo ulikuwepo uarabuni zaidi ya miaka 600 kabla ya kuzaliwa Mtume wa waislam, basi zilichanganywa ili kuvuta wafuasi.
2: Kwa sababu Mtume wa waislam alipotokewa na kitu asichokifahamu, mkewe mkubwa alimpeleka kwa mkristo ili amsaidia ndugu Waraqa. Na kazi ya huyu waraqa ilikuwa ni kutafsiri maandiko ya biblia kwa kiarabu, basi kuishi hapo ambapo alitabiriwa utume alipata ideas mbili tatu kuhusu mambo yaliyokuwemo kwenye maandiko ya wakristo na wayahudi.
3: Kile kilichomtokea pangoni ndio kilimpa hayo maagizo na kumpa tips zinazoendana na maandiko kabla yake ila zikiwa zimechanganywa ili kuleta utofauti.
4: Au yale yalikuwa ni maelekezo ya Allah ambayo hayatakiwi kuhojiwa wala kuzungumziwa wala kulinganishwa na chochote.
Wajuvi mtujuze sisi wenye akili viherehere tusiona mipaka kujifunza mambo.
Comments ziheshimu imani za watu.
Nilifikili unachanzo official cha kikatoriki au chanzo kifichi kinqchotetea hoja yako moja kwa moja maana wewe ndio ulisoma huo uzi ukauelewa.Tafuta Uzi huu upo humu umeelezea kwa kirefu.
Quran isingekopi ya maandiko ya Biblia
Ni kweli. Quran ya maandishi imeandikwa miaka mingi sana baada ya yeye Kufariki. Hata Idea ya kuandika hakuwahi kupewa na Allah. Allah alitaka wakariri tu vichwani.Muhamad S.A.W nae hajaandika kitabu chochote mkuu kwanza alikuwa hajui kusoma wala kuandika
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna sehemu quran imemtaja Yesu ila imemtaja Issa ambaye hajulikani ji nani?
Kwa hiyo Mungu aliyeumba wanadamu aliwapiga chini wote dunia nzima akabaki anadeal na wayahudi na waarabu tu. Hahahahahakwa ufupi wayahud walipewa mitume mingi sana.ila waliwakataa na wengine wakawaua.mungu akaamua kuhamisha utume kwa waarabu.ila wote walikuwa wana mtaja mungu mmoja.the rest is history
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna sehemu quran imemtaja Yesu ila imemtaja Issa ambaye hajulikani ji nani?
Hivi ni kweli kuwa katika Quran verses jina la nabii Issa (ambae wao wanaamini ndy Yesu) katajwa mara nyingi kuliko mtume wao s. a. w?Pia waislam hakuna andiko linalomuhusu Yesu.