Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

Wewe huna jawabu mpka sasa, unakuja na porojo ndeefu. Ngoja nirudie swali moja tu kwanza, naona akili zako finyu kidogo:

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam."?
Asante kwa mchango.
Nimeona najadili na mtu mwenye uelewa wa hofu za kidini uliojaa mizunguko.
 
Hakuna kukimbia kijinga hapa. Mada umeianzisha wewe au ilikuwa siyo mada ya kidini?

Haujajibu swali au kiri kuwa ulisema uongo. Narudia:

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam."?
 
Hakuna kukimbia kijinga hapa. Mada umeianzisha wewe au ilikuwa siyo mada ya kidini?

Haujajibu swali au kiri kuwa ulisema uongo. Narudia:

Kajisome paragraph yako ya kwanza halafu nioneshe katika biblia zote ulizozisoma ni ipi hiyo ambayo ina miaka "zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam."?
Kukupuuza au kuendelea kukujibu mkuu ni wajibu wangu, haina uhusiano na chochote unachoandika.

Pili. Nimekujibu vizuri, hicho kipengere. Unatakiwa ujibu nilichokijibu uonyeshe hakijibu vipi swali lako ili upewe ufafanuzi mpya. Hujafanya hivyo badala yake umerudi kwenye swali kabla ya kujibiwa.

Unachokifanya nakifahamu wala sina shaka. Bila kufanya kipengere cha pili hapo juu. Usitegemee kitu kipya kutoka kwangu hata kama kipo. Na ukiendelea ninaweza kukupotezea tu nikadeal na wanaoenda na mtiririko.

Karibu sana.
 
Mkiambiwa yesu au Ibrahim alikuja na kitabu mnadhani ni kuandika mwenyewe!?..ni wahyi/ufunuo ambayo ni maagizo ya Mungu kumwambia aseme nini kwa watu
Hicho kitabu alichokuja nacho Yesu na Ibrahim kiko wapi?

Mohamad amewahi kuviona?
Wewe hapo umewahi kuviona?
Nani amewahi kukiona?
 
Waisrael walijua Kuna nabii atakuja,ndiyo maana walimuuliza yesu ikiwa yeye ndiye nabii yule,yesu akasema hapana,atakuja yeye asiyesema kwa mapenzi yake Bali ya baba,yaani Muhammad hakusema Bali Yale aliyoteremshiwa,kuhusu wakati usihofu,Pana wakati mrefu Sana baina ya Musa na yesu,Ibrahim na Musa, Ibrahim na Muhammad
Haya maneno Yesu aliyesema wapi? Yameandikwa kwenye kitabu kipi cha Alah?

Hahaha...Wavaa kobazi huwa mnanichekeshaga sana.
 
Naongea kwa muktadha wa waislamu wanavyoamini. Japo sina shaka ni Jina issa ndio Yesu. Hilo ni swala la Lugha tu ila wahusika wenye majina hayo wanaweza kuwa tofauti au mmoja halisi amechakachuliwa kwa makusudi maalum
Huna shaka(una hakika)kuwa Jina ISSA na Jina YESU ni moja na tofauti yake inatokana na lugha tu,lakini unawasiwasi kuwa ISSA wa kwenye Qur-an ndie huyohuyo YESU wa kwenye Biblia. Ndio hivyo mkuu!?
Kama ndivyo, basi mi naona ungetafuta kwanza uhakika wa huyu mtu mwenyewe kwamba ndie yeye mmoja aliehusika kwenye vitabu vyote viwili au ni watu wawili tofauti waliofanana Jina.bila ya hivyo hoja zako zote utakuwa umezijenga kwenye Imani dhaifu na hakuna jibu utakalopewa ukaliona halina kasoro na hatimae kuwa mjadala usio na mwisho.
 
Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.

Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam.

Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?

Je hizi ni moja ya sababu?

1: Kwa sababu ukristo ulikuwepo uarabuni zaidi ya miaka 600 kabla ya kuzaliwa Mtume wa waislam, basi zilichanganywa ili kuvuta wafuasi.

2: Kwa sababu Mtume wa waislam alipotokewa na kitu asichokifahamu, mkewe mkubwa alimpeleka kwa mkristo ili amsaidia ndugu Waraqa. Na kazi ya huyu waraqa ilikuwa ni kutafsiri maandiko ya biblia kwa kiarabu, basi kuishi hapo ambapo alitabiriwa utume alipata ideas mbili tatu kuhusu mambo yaliyokuwemo kwenye maandiko ya wakristo na wayahudi.

3: Kile kilichomtokea pangoni ndio kilimpa hayo maagizo na kumpa tips zinazoendana na maandiko kabla yake ila zikiwa zimechanganywa ili kuleta utofauti.

4: Au yale yalikuwa ni maelekezo ya Allah ambayo hayatakiwi kuhojiwa wala kuzungumziwa wala kulinganishwa na chochote.

Wajuvi mtujuze sisi wenye akili viherehere tusiona mipaka kujifunza mambo.

Comments ziheshimu imani za watu.
Pragiarism boss ! Maandiko kwenye kuruani ni pragiarism Toka kwenye Bible believe me!
 
Huna shaka(una hakika)kuwa Jina ISSA na Jina YESU ni moja na tofauti yake inatokana na lugha tu,lakini unawasiwasi kuwa ISSA wa kwenye Qur-an ndie huyohuyo YESU wa kwenye Biblia. Ndio hivyo mkuu!?
Kama ndivyo, basi mi naona ungetafuta kwanza uhakika wa huyu mtu mwenyewe kwamba ndie yeye mmoja aliehusika kwenye vitabu vyote viwili au ni watu wawili tofauti waliofanana Jina.bila ya hivyo hoja zako zote utakuwa umezijenga kwenye Imani dhaifu na hakuna jibu utakalopewa ukaliona halina kasoro na hatimae kuwa mjadala usio na mwisho.
Kuhusu hili la Issa na Yesu. Sioni shaka nalo.
Mwa imani yangu binafsi sijui wengine.
1: Issa ni jina la Yesu kwa kiarabu sio kiislam. Kama ilivyo John na Yohana kwa kwa kiswahi au kilatini.

2: Maelezo ya Issa wa Kwenye Quran yanaendana japo kwa utofauti na maelezo ya Yesu wa kwenye Biblia na mama yake.
Hivyo naamini Yesu wa kwenye Quran ni toleo jipya la Yesu yuleyule wa kwenye Biblia ila amehafifishwa au kawekwa ili quran isijekuonekana ni kitabu cha Mungu mpya ambaye hana uhusiano na Mungu yule wa wakina Yesu, Yakobo, Musa, Ibrahim na Yohana.

Kwa hiyo Muislam anayemjifunza Issa ni kama anajifunza mwangwi tu au kivuli cha Yesu wa kwenye Biblia. Anatakiwa aje afundishwe vizuri huku kwetu.

Huu ndio ufahamu wangu ambao sikutaka kuuweka wazi mwanzo ili nipate mawazo mapya. Kutokea hapo mkuu unaweza kusema au kuongezea ulichokusudia kusema.
 
Hayo mengi yote uliyosoma kwanza yaweke pembeni.

Tupe jambo moja tu ambalo huoni tofauti kwenye Qur'an ya Waislam na Biblia ya Wakristo, tulijadili. Ukishindwa ku

Hayo mengi yote uliyosoma kwanza yaweke pembeni.

Tupe jambo moja tu ambalo huoni tofauti kwenye Qur'an ya Waislam na Biblia ya Wakristo, tulijadili. Ukishindwa kulileta, utakuwa siyo mkweli.
Sitaleta hata moja ila haiwezi kubadilisha ukwel ukawa uwongo
 
Nini chanzo cha hizi story kuonekana humo?. Najiuliza. Kama mwenyezi Mungu alisahau kitu huko nyumq kwa nini asingeleta story na mambo mapya ili yaonekane ni mbadala wa yale yaliyokuwepo?

Kwa kuwa mpaka sasa umeshindwa kujibu maswali mawili tu kutokana na para yako ya kwanza, naona niendelee kukujibu para yako ya pili kwa kuiwacha Qur'an ijisemee yenyewe ili pate uelewa:

Mwenyezi Mungu anasema nini kuhusu Qur'an katika Qur'an?
• Hakuna shaka katika kitabu hiki (2: 2).
• Mwenyezi Mungu amechukua jukumu la kulielezea hilo (75:19).
Mwenyezi Mungu anasema kuwa ameiteremsha Qur'ani na atailinda (15:9).
• Ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (s.a.w.w.) umeandikwa katika Quran (6:19).
Hakuna aya katika Quran inayosema kwamba ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (S.A.W.) uko nje ya Quran.
• Momineen wanaombwa kutii ufunuo kutoka kwa Allah (7: 3).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kutii ufunuo ulioteremshwa kwake (10:109).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kufuata Quran (75:18).
• Mwenyezi Mungu alimtaka Mtume (s.a.w.w.) kufuata Kitabu kilichobarikiwa kilichoteremshwa juu yake (6:155).
• Mtume (s.a.w.w.) alikuwa akihukumu mambo kulingana na ufunuo ulioteremshwa juu yake (5:48).
• Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu amekamilisha ujumbe wake na hakuna mtu anayeweza kubadilisha chochote ndani yake (6:34, 6:115).
• Qur'an inazunguka (encompasses) ujumbe wa Aya za awali (5:48). Kwa hivyo, ukweli wa Aya za awali sasa umejumuishwa katika Qur'an.
• Katika hilo hakuna utata (4:82).
• Mwenyezi Mungu ameiita Quran "Tibyaanan li Kulli Shaiyin (16:89)". Hii ina maana kwamba inaelezea kila kitu.
• Mwenyezi Mungu anatoa aya nyingi juu ya mada fulani mara kwa mara (6:105, 17:41). Hii inamaanisha kwamba tunapaswa kukusanya mistari yote juu ya mada ili kuielewa kikamilifu. Hii ni njia ya Mungu ya kuelewa Qur'an.
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kutatua tofauti zote za kibinadamu kupitia Quran (16:64).
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kuwaonya na kuwakumbusha watu kupitia Quran (50:45).
• Qur'an yenyewe ni nyepesi (5:15). Kwa hivyo, haitegemei chanzo kingine cha mwanga.
• Nuru hii (yaani, Qur'an) imetolewa ili wanadamu, kwa kutumia nuru hii, waweze kusafiri salama katika njia ya uzima (6:122).

• Mwenyezi Mungu alichukua jukumu la kukusanya Quran (75:17). [Hitimisho la kimantiki kutoka katika aya hii ni kwamba Quran ilikusanywa na kuwekwa pamoja na Mtume (s.a.w.w.). Mwenyezi Mungu aliamua mlolongo wa Sura na Aya na hakuna mtu mwingine zaidi ya Mtume (s.a.w.w.) angeweza kupokea maelekezo kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya jinsi ya kuyaweka pamoja. Hakuna aya katika Quran inayomtaka Mtume (s.a.w.w.) kukabidhi jukumu hili muhimu sana kwa mtu mwingine yeyote.]
• Tofauti yoyote ambayo wanadamu wanayo, uamuzi ni kwa Mwenyezi Mungu (42:10). [Kwa kuwa uamuzi wa Mwenyezi Mungu umemo ndani ya Qur'an tu, ni mantiki kuamini kwamba ina uwezo wa kutumika kama katiba kwa ulimwengu wote, na kujenga udugu wa ulimwengu wote. Mfano unaotekelezwa na Mtume (s.a.w.w.) ni uthibitisho wa hili.]
Hizo ni baadhi ya aya ambazo zinabainisha wazi msimamo wa Quran katika maisha ya Watu.
 
Ili vitu viwepo inatakiwa iweje kwa sababu story nyingi za dini ni vitu vya kufikirika tu !
Weka ushahidi wa ukisemacho. Qur'an inasema:

Qur'an sio tu inavutia hoja, bali inailisha na kuiendeleza.
Mwenyezi Mungu anasema kwamba tumeifanya Qur'ani kuwa isiyo na shaka wala utata (2:2; 4:82) na wazi kabisa (16:89) kuonyesha ukweli, ili wanadamu waweze kuelewa kwa kutumia akili zao; ili waweze kutumia hoja na mantiki kuelewa (47:24).

Kwa ufupi Qur'an siyo mafundisho ya kufata imani kwa upofu (blind faith) inatakiwa uisome, uielewe na utumie akili, utumie hoja (reasoning) na mantiki (logic).

Qur'an iunasisitiza Usipopaelewa uliza wenye ujuzi, mfano (wangu binafsi) wakati inaongelea mambo ya bahari na wewe huna ujuzi nayo uliza wenye ujuzi na bahari, usitowe tu tafsiri au kufikia tamati kwa fikra zako kwa kitu ambacho hukielewi.
 
👏👏
 
Ndiyo maana nikakwambia hakuna taurati kwenye biblia,huwezi tegemea kumbukumbu za watu na useme haya ndiyo Yale maneno ya Mungu wa Musa
Umetumia tafsiri ya Kiswahili kujenga hoja dhaifu sana.Hivi kwa Kihebrania hicho kitabu kinaitwaje?
 
Kwa kuwa mpaka sasa umeshindwa kujibu maswali mawili tu kutokana na para yako ya kwanza, naona niendelee kukujibu para yako ya pili kwa kuiwacha Qur'an ijisemee yenyewe ili pate uelewa:

Mwenyezi Mungu anasema nini kuhusu Qur'an katika Qur'an?
• Hakuna shaka katika kitabu hiki (2: 2).
• Mwenyezi Mungu amechukua jukumu la kulielezea hilo (75:19).
Mwenyezi Mungu anasema kuwa ameiteremsha Qur'ani na atailinda (15:9).
• Ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (s.a.w.w.) umeandikwa katika Quran (6:19).
Hakuna aya katika Quran inayosema kwamba ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (S.A.W.) uko nje ya Quran.
• Momineen wanaombwa kutii ufunuo kutoka kwa Allah (7: 3).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kutii ufunuo ulioteremshwa kwake (10:109).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kufuata Quran (75:18).
• Mwenyezi Mungu alimtaka Mtume (s.a.w.w.) kufuata Kitabu kilichobarikiwa kilichoteremshwa juu yake (6:155).
• Mtume (s.a.w.w.) alikuwa akihukumu mambo kulingana na ufunuo ulioteremshwa juu yake (5:48).
• Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu amekamilisha ujumbe wake na hakuna mtu anayeweza kubadilisha chochote ndani yake (6:34, 6:115).
• Qur'an inazunguka (encompasses) ujumbe wa Aya za awali (5:48). Kwa hivyo, ukweli wa Aya za awali sasa umejumuishwa katika Qur'an.
• Katika hilo hakuna utata (4:82).
• Mwenyezi Mungu ameiita Quran "Tibyaanan li Kulli Shaiyin (16:89)". Hii ina maana kwamba inaelezea kila kitu.
• Mwenyezi Mungu anatoa aya nyingi juu ya mada fulani mara kwa mara (6:105, 17:41). Hii inamaanisha kwamba tunapaswa kukusanya mistari yote juu ya mada ili kuielewa kikamilifu. Hii ni njia ya Mungu ya kuelewa Qur'an.
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kutatua tofauti zote za kibinadamu kupitia Quran (16:64).
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kuwaonya na kuwakumbusha watu kupitia Quran (50:45).
• Qur'an yenyewe ni nyepesi (5:15). Kwa hivyo, haitegemei chanzo kingine cha mwanga.
• Nuru hii (yaani, Qur'an) imetolewa ili wanadamu, kwa kutumia nuru hii, waweze kusafiri salama katika njia ya uzima (6:122).

• Mwenyezi Mungu alichukua jukumu la kukusanya Quran (75:17). [Hitimisho la kimantiki kutoka katika aya hii ni kwamba Quran ilikusanywa na kuwekwa pamoja na Mtume (s.a.w.w.). Mwenyezi Mungu aliamua mlolongo wa Sura na Aya na hakuna mtu mwingine zaidi ya Mtume (s.a.w.w.) angeweza kupokea maelekezo kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya jinsi ya kuyaweka pamoja. Hakuna aya katika Quran inayomtaka Mtume (s.a.w.w.) kukabidhi jukumu hili muhimu sana kwa mtu mwingine yeyote.]
• Tofauti yoyote ambayo wanadamu wanayo, uamuzi ni kwa Mwenyezi Mungu (42:10). [Kwa kuwa uamuzi wa Mwenyezi Mungu umemo ndani ya Qur'an tu, ni mantiki kuamini kwamba ina uwezo wa kutumika kama katiba kwa ulimwengu wote, na kujenga udugu wa ulimwengu wote. Mfano unaotekelezwa na Mtume (s.a.w.w.) ni uthibitisho wa hili.]
Hizo ni baadhi ya aya ambazo zinabainisha wazi msimamo wa Quran katika maisha ya Watu.
Swali la kwanza nimekujibu. Kitendo cha kukwepa jibu na kuendelea kusherekea swali ni udhaifu binafsi siwezi kulaumu. Nakushukuru kwa mchango wako katika mada pia.

Twende kwenye aya lukuki ulizoteremsha.

Umeshusha aya bila kusema aya zinagusua nini kwenye mada maana ni kama umekopi sehemu ukashare tu.

Kama hutojali labda nikuulize tu lolote kuhusu hizo aya ulizoshusha.

Du!! Kazi ninayo sio kidogo hahahaha.
 
Kwa kuwa mpaka sasa umeshindwa kujibu maswali mawili tu kutokana na para yako ya kwanza, naona niendelee kukujibu para yako ya pili kwa kuiwacha Qur'an ijisemee yenyewe ili pate uelewa:

Mwenyezi Mungu anasema nini kuhusu Qur'an katika Qur'an?
• Hakuna shaka katika kitabu hiki (2: 2).
• Mwenyezi Mungu amechukua jukumu la kulielezea hilo (75:19).
Mwenyezi Mungu anasema kuwa ameiteremsha Qur'ani na atailinda (15:9).
• Ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (s.a.w.w.) umeandikwa katika Quran (6:19).
Hakuna aya katika Quran inayosema kwamba ufunuo wa Mwenyezi Mungu kwa Mtume (S.A.W.) uko nje ya Quran.
• Momineen wanaombwa kutii ufunuo kutoka kwa Allah (7: 3).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kutii ufunuo ulioteremshwa kwake (10:109).
• Mtume (s.a.w.w.) aliombwa kufuata Quran (75:18).
• Mwenyezi Mungu alimtaka Mtume (s.a.w.w.) kufuata Kitabu kilichobarikiwa kilichoteremshwa juu yake (6:155).
• Mtume (s.a.w.w.) alikuwa akihukumu mambo kulingana na ufunuo ulioteremshwa juu yake (5:48).
• Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu amekamilisha ujumbe wake na hakuna mtu anayeweza kubadilisha chochote ndani yake (6:34, 6:115).
• Qur'an inazunguka (encompasses) ujumbe wa Aya za awali (5:48). Kwa hivyo, ukweli wa Aya za awali sasa umejumuishwa katika Qur'an.
• Katika hilo hakuna utata (4:82).
• Mwenyezi Mungu ameiita Quran "Tibyaanan li Kulli Shaiyin (16:89)". Hii ina maana kwamba inaelezea kila kitu.
• Mwenyezi Mungu anatoa aya nyingi juu ya mada fulani mara kwa mara (6:105, 17:41). Hii inamaanisha kwamba tunapaswa kukusanya mistari yote juu ya mada ili kuielewa kikamilifu. Hii ni njia ya Mungu ya kuelewa Qur'an.
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kutatua tofauti zote za kibinadamu kupitia Quran (16:64).
• Mtume (s.a.w.w.) alitakiwa kuwaonya na kuwakumbusha watu kupitia Quran (50:45).
• Qur'an yenyewe ni nyepesi (5:15). Kwa hivyo, haitegemei chanzo kingine cha mwanga.
• Nuru hii (yaani, Qur'an) imetolewa ili wanadamu, kwa kutumia nuru hii, waweze kusafiri salama katika njia ya uzima (6:122).

• Mwenyezi Mungu alichukua jukumu la kukusanya Quran (75:17). [Hitimisho la kimantiki kutoka katika aya hii ni kwamba Quran ilikusanywa na kuwekwa pamoja na Mtume (s.a.w.w.). Mwenyezi Mungu aliamua mlolongo wa Sura na Aya na hakuna mtu mwingine zaidi ya Mtume (s.a.w.w.) angeweza kupokea maelekezo kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya jinsi ya kuyaweka pamoja. Hakuna aya katika Quran inayomtaka Mtume (s.a.w.w.) kukabidhi jukumu hili muhimu sana kwa mtu mwingine yeyote.]
• Tofauti yoyote ambayo wanadamu wanayo, uamuzi ni kwa Mwenyezi Mungu (42:10). [Kwa kuwa uamuzi wa Mwenyezi Mungu umemo ndani ya Qur'an tu, ni mantiki kuamini kwamba ina uwezo wa kutumika kama katiba kwa ulimwengu wote, na kujenga udugu wa ulimwengu wote. Mfano unaotekelezwa na Mtume (s.a.w.w.) ni uthibitisho wa hili.]
Hizo ni baadhi ya aya ambazo zinabainisha wazi msimamo wa Quran katika maisha ya Watu.
Kama haya ndio majibu.
Kwa heshima naomba tu mada ifungiwe hapa. Maana tukichokoza zaidi ya hapa haitakuwa heshima sana. Tutendelea kupeana elimu kidogokidogo.

Ila ushauri wangu kwako, ni ushauri ambao niliwahi kupewa na mwanajf mmoja miaka ya zamani sana. Hepuka majawabu ambayo yako sambaba (Parallel au tangential ) na swali. Majibu yanakutana na at infinity na swali. Hayarandani kabisa.
 
Back
Top Bottom