Si tulikubaliana yaliyo pita yamepita, tu focus na yaliyopo!! au mli badirisha?Kifungo cha maisha jela alidhalilisha sana watu. Asijikoshe koshe kwa haya anayoyaibua
Si tulikubaliana yaliyo pita yamepita, tu focus na yaliyopo!! au mli badirisha?
ChaiKifungo cha maisha jela alidhalilisha sana watu. Asijikoshe koshe kwa haya anayoyaibua
Alidhalilisha watu kwa kuwafanyia nn?Kifungo cha maisha jela alidhalilisha sana watu. Asijikoshe koshe kwa haya anayoyaibua
Mange anafanya kazi kubwa sana. Mungu amlindeAman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani?
Hakika anapambana
Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania khaki zao
SAYUNI BOY
Mange alikuwa anafanya biashara kama biashara nyingeni tu.Kifungo cha maisha jela alidhalilisha sana watu. Asijikoshe koshe kwa haya anayoyaibua
Mange alikuwa anafanya biashara kama biashara nyingeni tu.
Nawatu wanavyo tumb** kwa nn warecord hiyo starehe yao .mange yy ana nunua alafu na yy anauza kwa subscription wake tatizo liko wap?
Alidhalilisha watu kwa kuwafanyia nn?
Hpn mkuu yale mambo ni ya kweli yalito fanyika .mbona wanao fanyiwa hawa lalamiki kama siyo kweliAah kumbe umemfahamu juzi tu mkuu. Unajua alikua na blog inaitwa u turn kule kavunja ndoa nyingi sana kisa tu hampendi mtu anamzushia uongo na matusi tele
Hpn mkuu yale mambo ni ya kweli yalito fanyika .mbona wanao fanyiwa hawa lalamiki kama siyo kweli
Kwanza ametengeza awareness kwenye jamii watu wa jua kinachoendelea tu .Aiseeeeeee hapa nitapoteza muda tu mkuu. Mfano hayo anayoyapost mtandaoni kuhusu bi chura na wanawe na akina IGP je mmelalamika nini kimetokea?